Simba kwanini kiingilio kisingekuwa elfu kumi kama Yanga??

Takwimu za Tff za viwango vya mashabiki wanao ingia uwanjani kwa msimu vinajieleza wazi.
Miaka yote, Yanga ndio timu yenye wastani mzuri wa kuingiza mashabiki wengi kwenye mechi zao kuliko timu yoyote apa Tanzania.
Ata kule Zanzibar kwenye kombe la Mapinduzi rekodi zinaibeba Yanga kwa miaka mingi.
Kiingilio cha 5000/= Kwa Simba ni sawa ila kwa Timu kama Yanga 10,000/= ni sahihi izi timu zina tofautiana ubora.
 
...welldone SIMBA SC kwa kuwa club pekee kutoka ukanda huu wa Africa, kutuwakilisha kwenye elite Africa Super Cup this October
 
Mimi ni mwanachama kabisa wa Simba sio Tu shabiki...
Naona kama lengo lilikuwa kuonesha uwezo wa Simba kujaza uwanja ...kulinganisha na Yanga ambao walishindwa ...Simba wangeweka kiingilio sawa sawa na Yanga ..... kiingilio cha elfu 10 minimum....

Hapo sasa ingekuwa nafasi nzuri ya kuonesha watu Simba ina mashabiki wa kujaza Uwanja bila kujali kiingilio....

Nafikiri hata uwanja ukijaa Hadi mwisho kabisa mradi kiingilio ni nusu ya walichoweka Yanga ...sioni kama ni jambo la kujivunia Sana...

Nafikiri ..next time hili swala litazamwe . Uwanja usilazimishwe kujaa Kwa kiingilio cha chini...

Yanga walitest soko Kwa elfu kumi wakashindwa....Simba wawe wa Kwanza Tanzania Kwa kujaza Uwanja Kwa elfu kumi....hili liwe sehemu ya malengo..timu ipate hela pia sio sifa za kujaza Uwanja tu
Kipaumbele chetu Kikuu ni Burudani kwa Wote na siyo kuweka Kiingilio Kikubwa ili Kukidhi Njaa zenu tukuka, mpate Fedha za Kumalizia Usajili na nyinginezo za Kulipia Madeni Sugu mbalimbali mnayodaiwa na makubwa yakiwa ni ya Wale Waganga wa Kienyeji Wawili wa Kilosa Morogoro na wa Mwandiga Kigoma.

Na kingine Simba SC ni Timu iliyo chini ya Mwekezaji Bilionea ambaye Afrika na hata Kwingineko duniani wanamjua hivyo ni Aibu Timu kwa Bilionea kuweka Kiingilio Kikubwa kumaliza Shida za Klabu na Kukomoa Mashabiki.

Simba SC ina Mwekezaji Bilionea mwenye Fedha na Utajiri wa halali ila kuna Timu zingine hapa duniani ( siyo Tanzania ) zina zina Matajiri Mafia, Majambazi, wakwepa Kodi, Wahujumu Uchumi, Wauza Dawa za Kulevya, Wadhulumati wa Mali za Watu na sasa Utajiri wao uneongezeka baada ya Mwanamke Mmoja kwa Kushirikiana na Mwanaume wake wa Siri ( sasa hana Kazi Kapumzika ) wamemuunganisha Tajiri huyo kubeba Silaha zote zinazotoka Bahari inayogombewa na Wadubai kwenda Congo DR huku Gari zake zingine zikibeba Madini na Makaa ya Mawe ndani ya nchi ya waliompa hiyo Dili.

Cc: SAGAI GALGANO, cocastic, rodrick alexander etc
 
Mimi ni mwanachama kabisa wa Simba sio Tu shabiki...
Naona kama lengo lilikuwa kuonesha uwezo wa Simba kujaza uwanja ...kulinganisha na Yanga ambao walishindwa ...Simba wangeweka kiingilio sawa sawa na Yanga ..... kiingilio cha elfu 10 minimum....

Hapo sasa ingekuwa nafasi nzuri ya kuonesha watu Simba ina mashabiki wa kujaza Uwanja bila kujali kiingilio....

Nafikiri hata uwanja ukijaa Hadi mwisho kabisa mradi kiingilio ni nusu ya walichoweka Yanga ...sioni kama ni jambo la kujivunia Sana...

Nafikiri ..next time hili swala litazamwe . Uwanja usilazimishwe kujaa Kwa kiingilio cha chini...

Yanga walitest soko Kwa elfu kumi wakashindwa....Simba wawe wa Kwanza Tanzania Kwa kujaza Uwanja Kwa elfu kumi....hili liwe sehemu ya malengo..timu ipate hela pia sio sifa za kujaza Uwanja tu
Simba haiwachukulii mashabik wake km wateja bali km familia na ndio maana wameweka kiingilio kidogo ili kila mmoja amudu kuingia wajumuike pamoja kwenye tamasha
 
Na ndio maana ilihitajika fungulia mbwa kwasababu type ya mashabiki ni ile level ya ku afford Balimi
Alooooo!!! Utopolo washenz sana

Walikua wanazuia hadi wapita njia wakiwashawish waingia uwanjan ili kujae na bado ngoma ilikua ngumu
 
Ni kukaza fuvu tu,lakini Simba ina mashabiki royal sana..
 
Mimi ni mwanachama kabisa wa Simba sio Tu shabiki...
Naona kama lengo lilikuwa kuonesha uwezo wa Simba kujaza uwanja ...kulinganisha na Yanga ambao walishindwa ...Simba wangeweka kiingilio sawa sawa na Yanga ..... kiingilio cha elfu 10 minimum....

Hapo sasa ingekuwa nafasi nzuri ya kuonesha watu Simba ina mashabiki wa kujaza Uwanja bila kujali kiingilio....

Nafikiri hata uwanja ukijaa Hadi mwisho kabisa mradi kiingilio ni nusu ya walichoweka Yanga ...sioni kama ni jambo la kujivunia Sana...

Nafikiri ..next time hili swala litazamwe . Uwanja usilazimishwe kujaa Kwa kiingilio cha chini...

Yanga walitest soko Kwa elfu kumi wakashindwa....Simba wawe wa Kwanza Tanzania Kwa kujaza Uwanja Kwa elfu kumi....hili liwe sehemu ya malengo..timu ipate hela pia sio sifa za kujaza Uwanja tu
Kumbuka siku ya mwananchi ya msimu wa 22/23 linganisha na Simba day ya 22/23 kiingilio kilikuaje afu rudi uupitia uzi wako
 
Mimi ni mwanachama kabisa wa Simba sio Tu shabiki...
Naona kama lengo lilikuwa kuonesha uwezo wa Simba kujaza uwanja ...kulinganisha na Yanga ambao walishindwa ...Simba wangeweka kiingilio sawa sawa na Yanga ..... kiingilio cha elfu 10 minimum....

Hapo sasa ingekuwa nafasi nzuri ya kuonesha watu Simba ina mashabiki wa kujaza Uwanja bila kujali kiingilio....

Nafikiri hata uwanja ukijaa Hadi mwisho kabisa mradi kiingilio ni nusu ya walichoweka Yanga ...sioni kama ni jambo la kujivunia Sana...

Nafikiri ..next time hili swala litazamwe . Uwanja usilazimishwe kujaa Kwa kiingilio cha chini...

Yanga walitest soko Kwa elfu kumi wakashindwa....Simba wawe wa Kwanza Tanzania Kwa kujaza Uwanja Kwa elfu kumi....hili liwe sehemu ya malengo..timu ipate hela pia sio sifa za kujaza Uwanja tu
Yanga na Simba wanatofautiana malengo. Yaweza kuwa Yanga lengo ni kupata pesa, Simba lengo si pesa bali kuiweka timu karibu na mashabiki hivyo lazima mashabiki wawe wengi.

Usipende kulinganisha vitu viwili tofauti
 
Ushindani wa Simba na Yanga ni kwenye kusakata kabumbu siyo kujaza uwanja,suala la kujaza uwanja ni sifa za kijinga tu
 
Singida pamoja na uchanga wao hatujasikia habari za open dogs (fungulia mbwa)

Hiyo buku 10 unayotambia usisahu kutoa shukurani kwa hawa wazalendo waliotoa ticketi za free boti

View attachment 2709635

Lakini pia pamoja na freeboti still haikusaidia kuweza kujaza watu uwanjani.

Blood donation mkai transform kutoka kwenye kujitolea kwenda kwenye biashara nyingine ya malipo ya tiketi.

Hiyo pia inaonesha hamna washabiki ambao wako willing kujitolea damu free bila expectations of something in return.

Kutoka kwenye plan A hadi plan Z ya kufungulia mageti wazi.

View attachment 2709636

Bado nayo fungulia mbwa haikuonesha matokeo ya kuridhisha kama ilivyotegemewa.

Ikabidi mkodi maskauti kukamata wapita njia na kulazimisha waingie uwanjani bila kupenda. Nayo haikusaidia pia.

Hapa nakumbuka kauli ya Hersi

Alisema mtu yuko zake huko hachangii chochote anakula tu mihogo halafu timu ikipata matokeo mabaya anaanza kulauumu viongozi na kudai yeye ndio mwenye uchungu na timu.

Na pia nakumbuka ile kauli ya Manara kuwa asiyelipia 29,000 ya kadi asiruhusiwe kuchangia kwenye magrupu ya wasap.

Haya yote maneno yaliyolewa kufuatia ushirikiano mdogo kutoka kwa mashabiki kwenye kuisadia timu.
Sawa tutakutana mwisho wa msimu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom