Simba kwanini kiingilio kisingekuwa elfu kumi kama Yanga??

Kama wanajipenda wajaribu iyo elfu kumi uone, usiige kunya kwa tembo utapasuka msamba, yanga keshaseti standard yake ya viingilio kulingana na thamani yake sokoni kwa sasa na sio suala la kuwafurahisha watu wakati moja ya vyanzo vya mapato ya klabu inatakiwa itoke kwenye get collection, wachezaji wanasajiliwa kwa mamilioni ya pesa na shabiki anahitaji matokeo bora uwanjani ni lazima na yeye awe source ya mapato ndani ya klabu sio kuwa mpiga kelele tu kuwalaumu viongozi wakati achangii chochote, kwa maana iyo kila klabu ina malengo yake simba kachagua kufurahisha genge kujaza uwanjani kwa kiingilio icho cha buku 3 na wenzao yanga walichagua kuendelea kuipa nguvu ya kiuchumi klabu kupitia get collection kwa kiingilio cha elfu kumi, Timu mbili malengo tofauti, na simba awawezi kuthubutu kuweka icho kiingilio wanajua wataangukia pua vibaya sana
 
Kama suala ni hela yafaa nini kuweka kiingilio ambacho hakikupi hela? Kuweka kiingilio cha 10000 sio guarantee kwamba utapata hela nyingi kuliko alieweka kiingilio kidogo.
Tunakwenda na details bwana wewe, shabiki mmoja wa yanga aliyeingia kwa buku kumi ni sawa mashabiki wawili wa simba walioingia kwa buku 5, Sasa kwenye makusanyo mnakuwaje sawa? Izo hesabu za memkwa au?
 
Mpira wa kisasa ni pesa na burudani.... kupanga ni kuchagua watakaobaki kwenye burudani wacha wabaki wengine wanakwenda na wakati
 
Yaani mbumbumbu ni mbumbumbu tu, MO ana lalamika mpaka sasa ametumia bilioni 55 anaishia robo tu nje ya bilion 20 ya uwekezaji.
Alafu baadhi ya mashabiki wa Simba wanafurahia kulipia 5000 kuangalia wachezaji walio ighalimu timu zaidi ya bilioni 2 za usajili mpya.
Na baadae wanataka watwae mataji kama Yanga, vituko hivi unavipata msimbazi tu.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tunakwenda na details bwana wewe, shabiki mmoja wa yanga aliyeingia kwa buku kumi ni sawa mashabiki wawili wa simba walioingia kwa buku 5, Sasa kwenye makusanyo mnakuwaje sawa? Izo hesabu za memkwa au?
Unapigia hesabu hewa. Suala sio hiyo 10000 au 5000 suala ni idadi ya mashabiki wangapi wameingia. Kiasi cha hela=kiingilio×idadi ya mashabiki. Sasa wewe wa 10000 umeingiza mashabiki 15000 na wa 5000 ameingiza mashabiki 45000 unafikiri yupi ameingiza kiasi kikubwa cha hela.
 
hesabu ndogo inakushinda

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Lini Yanga walishawahi jaza uwanja pasipo ticketi za bure za mafungu za kununuliwa? Mimi Yanga lia pia ila tu kwa mashabiki kujitoa uwanjani simba hatuwafikii

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Hata Jezi za Yanga zinauzwa bei tofauti.
 
hesabu ndogo inakushindaView attachment 2709944

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sijui manfikiri kwa kutumia nini. Nimekupa hadi formula na mfano lakini bado huelewi. Kiingilio cha 10000 hakikupi uhakika kwamba utakusanya kiasi kikubwa cha fedha kuliko wa kiingilio kidogo sababu ni kwamba inategemea ni watu wangapi wametoa hivyo viingilio kwa kila upande. Kama hesabu ndogo kama hiyo huelewi basi kwa huo ukilaza wako sina namna ya kukuelewesha zaidi.
 
Lini Yanga walishawahi jaza uwanja pasipo ticketi za bure za mafungu za kununuliwa? Mimi Yanga lia pia ila tu kwa mashabiki kujitoa uwanjani simba hatuwafikii

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Yanga aijawai kuwa na shabiki boya boya kama wewe usituchafulie hali ya hewa hapa, tokea lini ukawa shabiki wa yanga wewe?
 
Sasa kama mwenzako kashindwa kujaza uwanja kwa elfu kumi na wewe unataka waweke elfu kumi ili iweje?
 
Kuna Kitu tuna paswa kujua

Je kipato cha watu wengi wanao enda kuiangalia matukio kama hayo kikoje?


Iyo elf tano ni kubwa sana kwa wengi ndio mana ipo hivyo lengo sio kupima kipato lengo ni kupima mwitikio wa mashabiki

Yanga na mashabiki wengi Sana wslikasirika kuwekewa elf 10 hawakusema hadharan Lakin wame kili hilo kwenye magroup yao
 
Hao walioweza kutoa elf 10 ndio mashabiki halisi hatuhitaji kujaza uwanja kwa sifa za kijinga

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hesabu ya pesa hai hitaji kwenda shule watu elfu 60= kwa elfu 5 ni sh ngapi ? na watu elf 44 kwa buku 10 ni sh ngapi?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Naona kama lengo lilikuwa kuonesha uwezo wa Simba kujaza uwanja ...
Nani amekuambia lengo ni kuujaza uwanja? Lengo ni kutambulisha kikosi cha msimu mpya, hayo mengine yanakuja automatically. Kama Simba angeanza kufanya Simba Day kabla ya Yanga Day na kiingilio kikawa hivyo hivyo, uzi wako ungesomekaje katika title? Ficha ujinga
 
Kama suala ni hela yafaa nini kuweka kiingilio ambacho hakikupi hela? Kuweka kiingilio cha 10000 sio guarantee kwamba utapata hela nyingi kuliko alieweka kiingilio kidogo.
Aliyeweka kiingilio cha elfu 10 wakiingia watu elfu 30 tu mnakua sawa na wewe uliyejaza uwanja watu elfu 60
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…