Simba kwenye graphics designing na videography wamedoda, wanarudia mambo ya mwaka 1920 enzi za Charlie Chaplin, kazi wanapeana kindugu

Simba kwenye graphics designing na videography wamedoda, wanarudia mambo ya mwaka 1920 enzi za Charlie Chaplin, kazi wanapeana kindugu

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264

MGraphics za leo ni zaidi ya Uchale Chaplin

Halaf tumeambiwa wamekesha usiku kucha ili Dunia itingishike.

Labda ile Dunia Tambara Bovu, Sio Dunia hii ya 🌎 🤪🤪

Nb;; mkipeana kazi kiudugu Quality itaamua baadae, hii mambo ya Mtoto wa Mjomba sijui Mtoto wa Bamdogo,,inazidiwa na ubora mabibi na mabwana.

Kubwa kuliko ipo njiani msijitoe fahamu.

hebu cheki tela la Yanga, unaweza kulinganisha na hio charlie chaplin?

Mbna unaweweseka we utopolo????
View attachment 2289094

MGraphics za leo ni zaidi ya Uchale Chaplin

Halaf tumeambiwa wamekesha usiku kucha ili Dunia itingishike.

Labda ile Dunia Tambara Bovu, Sio Dunia hii ya [emoji289] [emoji2957][emoji2957]

Nb;; mkipeana kazi kiudugu Quality itaamua baadae, hii mambo ya Mtoto wa Mjomba sijui Mtoto wa Bamdogo,,inazidiwa na ubora mabibi na mabwana.

Kubwa kuliko ipo njiani msijitoe fahamu.
 
View attachment 2289094

MGraphics za leo ni zaidi ya Uchale Chaplin

Halaf tumeambiwa wamekesha usiku kucha ili Dunia itingishike.

Labda ile Dunia Tambara Bovu, Sio Dunia hii ya 🌎 🤪🤪

Nb;; mkipeana kazi kiudugu Quality itaamua baadae, hii mambo ya Mtoto wa Mjomba sijui Mtoto wa Bamdogo,,inazidiwa na ubora mabibi na mabwana.

Kubwa kuliko ipo njiani msijitoe fahamu.
sasa kwenye graphics ulitaka kuona mama yako akiwa amekalia ukuni?
 
Adele katoa single yake ya hello 2015 in B&W na bado imegonga views zaidi ya Bilion huko youtube

Wala huwezi kuona wenye akili timamu wana kandia hiyo video kwa kuiponda imechukua style ya zamani kwakua tu ina B&W.

Manara na wapambe zake sijui kama wana utaalamu wa B&W kwenye media

Kuhusianisha B&W na zama za kale hiyo tu ni kigezo tosha kujua uwezo wa mtu katika kupambanua mambo

Kuweka matukio katika jambo ambalo ni la siri kwa mfumo wa B&W ni jambo bora maradufu kuliko content ya rangi kwasababu rangi ina reveal informations nyingi

Na sometimes B&W ina indicate valuable msome Grant hapo chini

1657727098856.png
 
View attachment 2289104
Mbona unajieleza sana?[emoji849][emoji849]

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mbona mnawavunjia heshima watu wasio husika unatukana mama wa mtu usie mjua pengine huyo ulile mtukania mama mna share mzazi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kabisa. Ubishani bora ubaki baina ya wahusika tu. Kuingiza wazazi kunaingiza wasiohusika.
Pia ni busara kubishana pasi kuweka matusi. Mwisho wa siku mbali ya kudhalilishana hakuna manufaa yeyote yanayopatikana, wanufaika kina Mo na Gharib ndio wanaingiza pesa.
 
Simba ndio team ya Kwanza East Africa na Kati kuanza kutumia platforms zao kisasa, na kila mtu alipenda, sio Simba tu bali ata Yanga walipenda, na ndio sababu ya Simba kuwa inafatiliwa sana mitandaoni ukiacha sababu zingine

Leo hii Yanga wamekuwa Bora wa kuwaangalia Simba wanafanya nini, Yanga kaanza kujitahidi kwenye upande wa ubora wa content msimu uliopita ndio na wao wakaanza kutumia platforms zao vizuri

Ni kawaida Kwa mwanzilishi wa Jambo Fulani kuendelea kulifanya kwa mazoea kabla hajapata ushindani wa kweli, kwahiyo Simba aliwaacha mbali Sana wengine ukanda huu na hivi sasa amepata challenge ya ukweli kutoka Yanga

Kwa Simba ni Jambo la kuboresha tu kwakuwa washajua wamepata ushindani, platform za Yanga zilikuwa hazivutii kuzifatilia maana zilikaa kizee na kizamani sana na ndio sababu ya kuwa na wafuasi wachache kuliko Simba

Kufanya vizuri/kujitahidi Kwa Yanga naona kama watu wamesahau kuwa ni Simba ndio iliyofanya Yanga iwe vizuri,ni swala la muda tu Kwa Simba kuanza kuzalisha vitu bora kulingana na ushindani uliopo saizi

Simba imekuwa Bora sana kwenye social network platforms Kwa miaka karibia 5 mfululizo ila cha ajabu haijawahi kutumika nguvu kubwa hivi kuisifia au kuiponda Yanga kama nguvu inayotumika Leo hii

Wachambuzi kuanzia kwenye Media zao hadi account za mitandao yao ya kijamii ni wazi kuwa wanatumia nguvu kubwa sana kuiponda Simba na kuisifia Yanga, kuna muda nahisi itakuwa kuna campaign Fulani ipo behind the scene

Japokuwa ni kweli Yanga wanafanya vizuri ila Kinachoendelea hivi sasa ni kama vile ilivokuwa kwenye utawala wa hayati Magufuri yani we sifia tu, sifia tu haijarishi unasifia nini we sifia tu na usisahau kuuponda upinzani
 
Back
Top Bottom