Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Sio alitaka kukuona wewe ukiliwa taqosasa kwenye graphics ulitaka kuona mama yako akiwa amekalia ukuni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio alitaka kukuona wewe ukiliwa taqosasa kwenye graphics ulitaka kuona mama yako akiwa amekalia ukuni?
wewe unazo ila huzitumiiMakolo hayana akili.
Ukisikia mchezaji kaenda free unadhani wanajiokotea tu kama embe?
ndio nijuavyoUkisikia mchezaji kaenda free unadhani wanajiokotea tu kama embe?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nenda kamchukue Angel Dimaria yupo free agent uonendio nijuavyo
Dimaria alishapata offer kabla hajamaliza msimu so now yupo JuventusNenda kamchukue Angel Dimaria yupo free agent uone
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tatizo simba ni washamba wa kuvamia fani ambazo haziwahusu, mtu kama wewe tangu lini unajua ma,bo ya graohics?KUPANGA NI KUCHAGUA.
Unaweza kuwanunua waandishi na wachambuzi ili kuwaaminisha watu kila unachofanya wewe ndio kuzuri na kila wanachofanya wenzio hakina maana yoyote ni kila kinachofanywa na wengine na sio wewe basi hicho kitu ni kitu cha hovyo.
Unaweza kuwadanganya watu wachache kwa muda mfupi ila kumbuka huwezi kuwadanganya watu wengi tena kwa muda mrefu.
Unaweza kutengeneza bahasha nyingi sana ili kuwatuma chawa wako wakawaaminishe watu mtaro ni mkubwa kuliko mto. Au kwa kuwa unatoka mkoa wa Kilimanjaro basi utake watu waamini bwawa la nyumba ya Mungu lina samaki wengi kuliko ziwa victoria.
Unaweza kuwahadaa watu kwa kuacha kuzungumzia ukubwa wa tukio na kubuni kitu cha kuhamisha ujenzi wa ujenzi wa daraja kubwa la mto rufiji ili tu kufanya anayejenga daraja hilo aonekane ni mdogo kuliko kuliko anayejenga daraja la mto ng'ombe kwa kuwa tu nia yako ni kudogosha mambo makubwa yanayofanywa na walio sio wa upande wako. Au ukabeza nyumba inayojengwa ila ukazisifu nondo zinazojenga nyuma.
Ukifanikiwa leo kuwahadaa watu kwa kuwatuma chawa wasifu kila unachofanya na kubeza kila wanachofanya wengine kuna siku watu watajua na utajikuta uko uchi na utashindwa kuificha aibu yako.
Kuna uzi mwembamba sana umebaki kwa waandishi na wachambuzi kujitenga. Wapo watakaobaki na heshima na wapo watakaovuna aibu.
View attachment 2289378
Kwahyo kuiba kipande cha wimbo wa Dj Khaleed nayo ni ubunifu kumbeView attachment 2289094
MGraphics za leo ni zaidi ya Uchale Chaplin
Halaf tumeambiwa wamekesha usiku kucha ili Dunia itingishike.
Labda ile Dunia Tambara Bovu, Sio Dunia hii ya 🌎 🤪🤪
Nb;; mkipeana kazi kiudugu Quality itaamua baadae, hii mambo ya Mtoto wa Mjomba sijui Mtoto wa Bamdogo,,inazidiwa na ubora mabibi na mabwana.
Kubwa kuliko ipo njiani msijitoe fahamu.
hebu cheki tela la Yanga, unaweza kulinganisha na hio charlie chaplin ??
View attachment 2289335
Asante.Simba ndio team ya Kwanza East Africa na Kati kuanza kutumia platforms zao kisasa, na kila mtu alipenda, sio Simba tu bali ata Yanga walipenda, na ndio sababu ya Simba kuwa inafatiliwa sana mitandaoni ukiacha sababu zingine
Leo hii Yanga wamekuwa Bora wa kuwaangalia Simba wanafanya nini, Yanga kaanza kujitahidi kwenye upande wa ubora wa content msimu uliopita ndio na wao wakaanza kutumia platforms zao vizuri
Ni kawaida Kwa mwanzilishi wa Jambo Fulani kuendelea kulifanya kwa mazoea kabla hajapata ushindani wa kweli, kwahiyo Simba aliwaacha mbali Sana wengine ukanda huu na hivi sasa amepata challenge ya ukweli kutoka Yanga
Kwa Simba ni Jambo la kuboresha tu kwakuwa washajua wamepata ushindani, platform za Yanga zilikuwa hazivutii kuzifatilia maana zilikaa kizee na kizamani sana na ndio sababu ya kuwa na wafuasi wachache kuliko Simba
Kufanya vizuri/kujitahidi Kwa Yanga naona kama watu wamesahau kuwa ni Simba ndio iliyofanya Yanga iwe vizuri,ni swala la muda tu Kwa Simba kuanza kuzalisha vitu bora kulingana na ushindani uliopo saizi
Simba imekuwa Bora sana kwenye social network platforms Kwa miaka karibia 5 mfululizo ila cha ajabu haijawahi kutumika nguvu kubwa hivi kuisifia au kuiponda Yanga kama nguvu inayotumika Leo hii
Wachambuzi kuanzia kwenye Media zao hadi account za mitandao yao ya kijamii ni wazi kuwa wanatumia nguvu kubwa sana kuiponda Simba na kuisifia Yanga, kuna muda nahisi itakuwa kuna campaign Fulani ipo behind the scene
Japokuwa ni kweli Yanga wanafanya vizuri ila Kinachoendelea hivi sasa ni kama vile ilivokuwa kwenye utawala wa hayati Magufuri yani we sifia tu, sifia tu haijarishi unasifia nini we sifia tu na usisahau kuuponda upinzani
jibu hoja nyonyosasa kwenye graphics ulitaka kuona mama yako akiwa amekalia ukuni?
Kwahyo kuweka hko kipande cha video ya Khaleed ndio ubinifu haswaa.Tatizo simba ni washamba wa kuvamia fani ambazo haziwahusu, mtu kama wewe tangu lini unajua ma,bo ya graohics?
Kuna vitu vinaitwa fair use policies, sheria za mitandao ya kijamii kuhusu utumiaji wa maudhui yenye haki miliki katika njia inayofaa, zinaruhusu mtu kuchukua kipande kidogo kutoka video nyingine na hapa kimetolewa kipande cha funguo tu na wala hakuna kosa maana hii video imetumika kwenye mitandao ya kijamii na sio kusema kwamba ni muziki utaomwingizia mwanamziki kipato au muvi ya kununua ..
Nadhani elimu kwa upande wa simba ni tatizo kubwa sana
Wachambuzi ndio wamelibeba hili.kwa kuwa wanaishi kwa bahasha za utopolo.Simba ndio team ya Kwanza East Africa na Kati kuanza kutumia platforms zao kisasa, na kila mtu alipenda, sio Simba tu bali ata Yanga walipenda, na ndio sababu ya Simba kuwa inafatiliwa sana mitandaoni ukiacha sababu zingine
Leo hii Yanga wamekuwa Bora wa kuwaangalia Simba wanafanya nini, Yanga kaanza kujitahidi kwenye upande wa ubora wa content msimu uliopita ndio na wao wakaanza kutumia platforms zao vizuri
Ni kawaida Kwa mwanzilishi wa Jambo Fulani kuendelea kulifanya kwa mazoea kabla hajapata ushindani wa kweli, kwahiyo Simba aliwaacha mbali Sana wengine ukanda huu na hivi sasa amepata challenge ya ukweli kutoka Yanga
Kwa Simba ni Jambo la kuboresha tu kwakuwa washajua wamepata ushindani, platform za Yanga zilikuwa hazivutii kuzifatilia maana zilikaa kizee na kizamani sana na ndio sababu ya kuwa na wafuasi wachache kuliko Simba
Kufanya vizuri/kujitahidi Kwa Yanga naona kama watu wamesahau kuwa ni Simba ndio iliyofanya Yanga iwe vizuri,ni swala la muda tu Kwa Simba kuanza kuzalisha vitu bora kulingana na ushindani uliopo saizi
Simba imekuwa Bora sana kwenye social network platforms Kwa miaka karibia 5 mfululizo ila cha ajabu haijawahi kutumika nguvu kubwa hivi kuisifia au kuiponda Yanga kama nguvu inayotumika Leo hii
Wachambuzi kuanzia kwenye Media zao hadi account za mitandao yao ya kijamii ni wazi kuwa wanatumia nguvu kubwa sana kuiponda Simba na kuisifia Yanga, kuna muda nahisi itakuwa kuna campaign Fulani ipo behind the scene
Japokuwa ni kweli Yanga wanafanya vizuri ila Kinachoendelea hivi sasa ni kama vile ilivokuwa kwenye utawala wa hayati Magufuri yani we sifia tu, sifia tu haijarishi unasifia nini we sifia tu na usisahau kuuponda upinzani
Ubunifu ni kuweka maudhui yanayofanya content ilete maana wa njia inayofanya matukio yavutie na yasitoje nje ya ujumbe ....Kwahyo kuweka hko kipande cha video ya Khaleed ndio ubinifu haswaa.
Copy & paste...hakika graphic designer wa utopwinyo wako vzr wanafanya kaz nzuri sana...Africa hii hakuna kama waoUbunifu ni kuweka maudhui yanayofanya content ilete maana wa njia inayofanya matukio yavutie na yasitoje nje ya ujumbe ....
Sheria za mitandao ya kijamii kwenye fair use policies zimeruhusu matumizi ya vipande vidogo vya video za miziki cisivyozidi sekunde tano.
Kuna sheria za ziada kama ceative content, hizi ni video ambazo hazina haki miliki, zinaweza kutumika popote na mtu yeyote, haya mambo si ya kukurupuka.
Tatizo haya mambo hata fundi gereji leo nae anataka kujifanya anajua graphics kisa kaona tu kwamba kuna kipande kidogo cha video flani imetumika Yanga... hizi ni fani za watu aisee, si kitu cha kujifanya unakijua ndan ya dakika.
kama mnaona ni kosa, mkashtaki ili mpewe elimu vizuri.
mara hii mmehamia huko? hatujadili tena viwango vya sajili? 🤣🤣🤣🤣
wakati unatuita hukusema kama ni DJ Khaeed 🤣🤣
Baada ya kuomba Kazi department ya Photography ( Digital ) ya Simba SC na Kutoswa kutokana na kuwa incompetent sasa umeamua kuja Kuwananga hapa Mtandaoni?View attachment 2289094