sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
View attachment 2289094
MGraphics za leo ni zaidi ya Uchale Chaplin
Halaf tumeambiwa wamekesha usiku kucha ili Dunia itingishike.
Labda ile Dunia Tambara Bovu, Sio Dunia hii ya [emoji289] [emoji2957][emoji2957]
Nb;; mkipeana kazi kiudugu Quality itaamua baadae, hii mambo ya Mtoto wa Mjomba sijui Mtoto wa Bamdogo,,inazidiwa na ubora mabibi na mabwana.
Kubwa kuliko ipo njiani msijitoe fahamu.
sasa kwenye graphics ulitaka kuona mama yako akiwa amekalia ukuni?View attachment 2289094
MGraphics za leo ni zaidi ya Uchale Chaplin
Halaf tumeambiwa wamekesha usiku kucha ili Dunia itingishike.
Labda ile Dunia Tambara Bovu, Sio Dunia hii ya π π€ͺπ€ͺ
Nb;; mkipeana kazi kiudugu Quality itaamua baadae, hii mambo ya Mtoto wa Mjomba sijui Mtoto wa Bamdogo,,inazidiwa na ubora mabibi na mabwana.
Kubwa kuliko ipo njiani msijitoe fahamu.
Ana mwiko nyuma huyo....Mbna unaweweseka we utopolo????
Wazee wa Mwiko nyuma wanaweweseka. Jina moja leo limefunika usajili wao wote...sasa kwenye graphics ulitaka kuona mama yako akiwa amekalia ukuni?
Ulitaka zifanane za ule mwiko wenu? Hivi bado uko nyumaGraphics Designer Anachohakikisha Ni Bidhaa Za Mo Zinaonekana Vizuri Basi Vingine Inshaallah [emoji23]....Na PC Inayotumika Nasikia imenunuliwa Machinga Complex [emoji23]
Mbona mnawavunjia heshima watu wasio husika unatukana mama wa mtu usie mjua pengine huyo ulile mtukania mama mna share mzazisasa kwenye graphics ulitaka kuona mama yako akiwa amekalia ukuni?
leo mji wote umekuwa tulivu ,walikuwa wanatambulisha usiku kama vibakaWazee wa Mwiko nyuma wanaweweseka. Jina moja leo limefunika usajili wao wote...
Mwiko umefika sehemu yake
Mbona unajieleza sana?[emoji849][emoji849]Adele katoa single yake ya hello 2015 in B&W na bado imegonga views zaidi ya Bilion huko youtube
Wala huwezi kuona wenye akili timamu wana kandia hiyo video kwa kuiponda imechukua style ya zamani kwakua tu ina B&W.
Manara na wapambe zake sijui kama wana utaalamu wa B&W kwenye media
Kuhusianisha B&W na zama za kale hiyo tu ni kigezo tosha kujua uwezo wa mtu katika kupambanua mambo
Kuweka matukio katika jambo ambalo ni la siri kwa mfumo wa B&W ni jambo bora maradufu kuliko content ya rangi kwasababu rangi ina reveal informations nyingi
Na sometimes B&W ina indicate valuable msome Grant hapo chini
View attachment 2289104
heshima gani anayo? Vyura mna kelele sanaMbona mnawavunjia heshima watu wasio husika unatukana mama wa mtu usie mjua pengine huyo ulile mtukania mama mna share mzazi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kabisa. Ubishani bora ubaki baina ya wahusika tu. Kuingiza wazazi kunaingiza wasiohusika.Mbona mnawavunjia heshima watu wasio husika unatukana mama wa mtu usie mjua pengine huyo ulile mtukania mama mna share mzazi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Anajitolea kwanza ndo kisha aajiriweau graphics designer halipwi
Makolo hayana akili.