Simba kwenye graphics designing na videography wamedoda, wanarudia mambo ya mwaka 1920 enzi za Charlie Chaplin, kazi wanapeana kindugu

Yaan mtakimbiana endapo graphics ziwe kali ila mchezaji ana zimia kiwanjan ... Binafsi nina mashaka sana na yule mgonjwa toka Newcastle asije akazimia
 
Unatumia nguvu nyng sana kutetea ujinga

Nakujuza na hii kwenye video ya yule mrundi alietoka uingereza ya ikwiriri

Nae kuna kipande cha video cha copy n paste

Hyo nayo bdo unaona sawa na ni ubunifu wa kujisifia

Aiseee em kwenye nyekundu tuseme nyekundu mambo ya kutetea nnya kuita futar kisa tu uokoe jahaz ni ujinga

Unataka kusema kutengeneza kitu kipya bila kuweka vionjo vya wengine haiwezekan.
 
Maoni ya mwenye akili, safi kabisa Mkuu.
 
Wabongo walivyo mazuzu wanatembelea upepo wa waandishi wa habari wa mchongo wanaamini videos ziking'aa ndo nzuri badala ya kuangalia creativity.
 
Hawana akili za kuchambua mambo hao utopolo zaidi ya kufuata manara kasema nn kwa mfano ukiangalia videos za wizkid you tube ni kama za champlin ila ndo msanii kila siku anachukua video bora kwenye tuzo yule jamaa wetu wa tandane anatoa videos zinang'aa lakini anatoka patupu watu wanaagalia creativity sio mng'ao na copy and paste.
 
Wabongo walivyo mazuzu wanatembelea upepo wa waandishi wa habari wa mchongo wanaamini videos ziking'aa ndo nzuri badala ya kuangalia creativity.
Creativity Kama Hiii

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Comment bora kabisa hii
 
Afu jamaa wakadai wamedizaini wao [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wana yule kijana anayevimba hapo Twitter anaitwa given ndo anayefanya hizo mambo
 
Ungemwelewa alichokiandika usingepambana kujibu hivi aisee
 
Waandishi na wachambuzi wa bongo wengi wao wana upuuzi sana.
 
Graphics Designer Anachohakikisha Ni Bidhaa Za Mo Zinaonekana Vizuri Basi Vingine Inshaallah [emoji23]....Na PC Inayotumika Nasikia imenunuliwa Machinga Complex [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sasa kwenye graphics ulitaka kuona mama yako akiwa amekalia ukuni?
we KOLO acha matusi...hakuna tusi jipya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…