Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Just kama kumbu kumbu tu, sio kwamba wanaomba kisa umaskini.
Wakati mwingine tutumie vichwa vyetu kureason not otherwise!
Yanga ni masikini mwenye ela ni nani?... Mo yuko pale kawekeza ndio maana yake simba sio ombaombaTshirt kawaida, sasa hiyo ya viatu umeona wapi tena hadharani....haaaa hii aibu ya karne
Mimi nawaambia Simba ni maskini mwenye hela ni Mo
Tuko nyuma mno kisoka na hawa ndio level ya juu.Haya mambo wanayfanya wa Africa
Tshirt sawa tena kwa kubadilishana sasa mtu kabisa kabisa unabembeleza ina maana atembelee nini kutoka nje ya uwanja. kama ni hivyo yeye mbona hajampa vyake wakabadilishana? Wachezaji wengine wana fungus zisizopona!!Iwe iwavyo weye ndo mshamba. Wachezaji hupeana hadi Tshirts zao kama kumbukumbu kuwa amewahi cheza na timu kubwa sio kwamba ati hawana viatu
Weka tofauti ya kuomba /kumganda mtu avue viatu uwanjani na kupokea kilichotolewa na kwa ridhaa,.. Tena kaomba kwa akili ya kijinga kbs,... Mwenzie kwa ishara tumeona akimwambia twende kwenye vyumba vya kubadilisha jezi, (Kiafya) .... Salamba kamganda avue hapo hapo..Bora simba kumbuka Casablanca wachezaji karibu wote waligombania viatu vya Gaucho leo unashangaa Salamba kuomba kiatu
Ubingwa wa mezani..?Kuna mtu anabisha kuhusu ubingwa wenu wa mezani, sisi tunahoji uwekezaji wa Mo uko wapi ikiwa wachezaji hata njumu hawana...?
Yeye ndio kaona viatu vinafaa.. we unamchagulia?Typical MBUMBU MBU. Kumbukumbu gani inayopatikana kwenye njumu? Uache kuchukua jezi yenye jina na nembo, ukamtembeze mwenzio peku peku kwenda vyumbani.
Labda uniambie umefanyika uchunguzi mkabaini viatu vya Sevilla vinafaa sana kuendeshea boda boda
Wewe ni yanga ya Simba huwezi kuyajua.. we jua kuchangia timu yako.Mo amewekeza ngapi wakati akaunti ya simba unasoma sifuri...
Sawa, muombage na vya KMKMYeye ndio kaona viatu vinafaa.. we unamchagulia?
Viatu havina nembo?.. Wivu tu utafikiri umeombwa wewe
Kumbukumbu omba jezi sio kiatuJust kama kumbu kumbu tu, sio kwamba wanaomba kisa umaskini.
Wakati mwingine tutumie vichwa vyetu kureason not otherwise!
Kosa lake ni hapo alipoambiwa kwenda ndani akakomaa palepale...Weka tofauti ya kuomba /kumganda mtu avue viatu uwanjani na kupokea kilichotolewa na kwa ridhaa,.. Tena kaomba kwa akili ya kijinga kbs,... Mwenzie kwa ishara tumeona akimwambia twende kwenye vyumba vya kubadilisha jezi, (Kiafya) .... Salamba kamganda avue hapo hapo..
Hiyo ya Gaucho aliamua kutoa kwa hiari yake hakuombwa... Tunaona wachezaji au wanamuziki kurusha kofia, jezi, viatu t-shirt kwa mshabiki kwa ridhaa yake, ndipo watu huigombea, na ndicho alichokafanya Gaucho... Hii ya Salamba ni ya kwanza ktk ulimwengu wa soka kwa wenye akili timamu.. Waambie wabadilike waache ushamba....
KMKM ndio atuombe sisi mkuuSawa, muombage na vya KMKM
Kiatu sio kumbukumbu?.. mbona unamchagulia wewe ndio fata jeziKumbukumbu omba jezi sio kiatu
Mpaka sasa unajua kwenye acc ya Simba kaweka kiasi gani ?Yanga ni masikini mwenye ela ni nani?... Mo yuko pale kawekeza ndio maana yake simba sio ombaomba
Mwenye shida alikuwa Salamba.. yule jamaa kama angetaka wangebadilishana.Tshirt sawa tena kwa kubadilishana sasa mtu kabisa kabisa unabembeleza ina maana atembelee nini kutoka nje ya uwanja. kama ni hivyo yeye mbona hajampa vyake wakabadilishana? Wachezaji wengine wana fungus zisizopona!!