Simba mbona hatujasajili mpaka sasa wakati Mo ameweka pesa? Yanga wanatunyang'anya mpaka wachezaji

Simba mbona hatujasajili mpaka sasa wakati Mo ameweka pesa? Yanga wanatunyang'anya mpaka wachezaji

buhoro ksl

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2019
Posts
248
Reaction score
246
Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sasa wanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu.

Kumbuka tuna wachezaji umri umewatupa kama John Boco, Onyango wakipata injury tu basi tumekwisha msimu ujao.
 
Wewe sio Simba.

Yaani unatishwa na kelele za kule.
 
Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sas awanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu.

Kumbuka tuna wachezaji umri umewatupa kama John Boco, Onyango wakipata injury tu basi tumekwishamsimu ujao.
Kila mwaka Yanga huwa wanasajili hivihivi
Ukisoma habari za usajili ,za Yanga kwenye nagazeti unaweza kuogopa
 
Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sas awanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu.

Kumbuka tuna wachezaji umri umewatupa kama John Boco, Onyango wakipata injury tu basi tumekwishamsimu ujao.
Mtopolo katika ubora wako.
 
Sina hamu na utopolo ya judo asee
 
Sasa Mkuu simba wameuche mchezaji gani wa kigeni ili wasajili mchezaji mwingine?

Simba waliopo bado ni bora sana

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Simba itasajili wachezaji watatu wa ndani pamoja na watatu wa kigeni.
Kuna forward toka Ubelgiji, Banda toka Malawi na Fraga anarejea
 
Back
Top Bottom