buhoro ksl
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 248
- 246
- Thread starter
-
- #21
Wawa na kagere hawa wamechokaSasa Mkuu simba wameuche mchezaji gani wa kigeni ili wasajili mchezaji mwingine?
Simba waliopo bado ni bora sana
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Hao wote bado hawajachoka. Huwa muna sema hivyo ili Simba iingie mkenge Yanga wawachukue.Wawa na kagere hawa wamechoka
Simba usajii wao unalenga kimataifa zaidi na huwa hawakurupuki mfano mwaka jana utopolo walihangaika kubeba watu mwisho wa siku makombe yote yakabebwa na msimbazi
Yaani Simba usajili mchezaji kutoka Ubelgiji ipi ya ulaya au Ubelgiji ya Mwakaleli Mbeya?Simba itasajili wachezaji watatu wa ndani pamoja na watatu wa kigeni.
Kuna forward toka Ubelgiji, Banda toka Malawi na Fraga anarejea
Hiz kaur zenu ndio mwisho tutakuja kuanza kusema hatuna bahat mara tumejitaid mara timu fulan wachaw ,simba ina ubora gan kuliko timu nyngne dunian mbona timu zote tetes zinaanza mwisho wanasajiliwa kwel ata kama sio wote waliousishwa na tetes na hii tabia ya simba kuanza kujiona wao ndo wamekua na kuendelea ikiota mizizi itawarudsha nyuma simba ni kama timu nyngne tu inakosea inapatia haitakiwa wajione wao wapo sawa na ndo wamejimilikisha mpra wa tz kama viongoz wataendeleza zalau zao watakuja kuona dilisha dogo lipo mbal ,mfano tuliona apa walijifanya wasiri ktk usajil mwsho wakasajil watu pasipo ata kucheza wakawavunjia mikataba cha msing wasikilize maon ya watu wasikilize maon ya kocha na mwsho kabisa wajue timu yao ina mapungufu tetes za usajil sio zambiSimba ya sasa haiongozwi kitopolo kama washamba wa Jangwani,usajili wa Simba unafocus zaidi CAF hapa ndani tushamaliza Simba ndo mbabe, tulia utaona mziki kwenye pitch pila biriani likitandazwa minyama ya kumwaga.
Mchezaji atoke Ubeljiji aje kucheza Simba? Labda mnataka kusajili mpishi.Simba itasajili wachezaji watatu wa ndani pamoja na watatu wa kigeni.
Kuna forward toka Ubelgiji, Banda toka Malawi na Fraga anarejea
Huu ni ukweli na wakumbuke popote kuliko na ombwe la taarifa lazima itafutwe au itokee taarifa ya kuziba obwe hilo. Sasa kuna wakuda wanatuambia tusubiri sie sio wa kusubiri mabaki bana.Hiz kaur zenu ndio mwisho tutakuja kuanza kusema hatuna bahat mara tumejitaid mara timu fulan wachaw ,simba ina ubora gan kuliko timu nyngne dunian mbona timu zote tetes zinaanza mwisho wanasajiliwa kwel ata kama sio wote waliousishwa na tetes na hii tabia ya simba kuanza kujiona wao ndo wamekua na kuendelea ikiota mizizi itawarudsha nyuma simba ni kama timu nyngne tu inakosea inapatia haitakiwa wajione wao wapo sawa na ndo wamejimilikisha mpra wa tz kama viongoz wataendeleza zalau zao watakuja kuona dilisha dogo lipo mbal ,mfano tuliona apa walijifanya wasiri ktk usajil mwsho wakasajil watu pasipo ata kucheza wakawavunjia mikataba cha msing wasikilize maon ya watu wasikilize maon ya kocha na mwsho kabisa wajue timu yao ina mapungufu tetes za usajil sio zambi
Simba ya sasa sio ya maneno mengi,focus ni kimataifa hapa Bongo tushamaliza kazi akuna wakutusumbua,tunapiga yeyote yule kama Bruce Lee,"dadadeki"Hiz kaur zenu ndio mwisho tutakuja kuanza kusema hatuna bahat mara tumejitaid mara timu fulan wachaw ,simba ina ubora gan kuliko timu nyngne dunian mbona timu zote tetes zinaanza mwisho wanasajiliwa kwel ata kama sio wote waliousishwa na tetes na hii tabia ya simba kuanza kujiona wao ndo wamekua na kuendelea ikiota mizizi itawarudsha nyuma simba ni kama timu nyngne tu inakosea inapatia haitakiwa wajione wao wapo sawa na ndo wamejimilikisha mpra wa tz kama viongoz wataendeleza zalau zao watakuja kuona dilisha dogo lipo mbal ,mfano tuliona apa walijifanya wasiri ktk usajil mwsho wakasajil watu pasipo ata kucheza wakawavunjia mikataba cha msing wasikilize maon ya watu wasikilize maon ya kocha na mwsho kabisa wajue timu yao ina mapungufu tetes za usajil sio zambi
Sikatai kaur yako ila unavyokua bora ww ndo njia ya wenzako kujua uzur wako na udhaifu wako mwsho wapo watu watakuja watakupa apo ulipo na ndio maana miaka minne nyuma simba ilijua ubora wa yanga wakajipanga na wao wakawaizd yanga vivyo ivyo ata kwa simba kuna yanga na azam sio kama wanarizka na ubora wa simba hapana na wao wanafanya juu chin sio kusubr simba ashuke ubora ikiwezekana ata kumshusha ,mm nakuakikishia hiv simba wasipofanya usajir zaid ya wachezaj wanne tena wa viwango ligi inayokuja watazd kupata tabu ya ndan mpaka ya nje wachezaj wa simba kuna baadh bado wana hali na uwezo wa kucheza ila weng wanategemea na ubora wa timu wanayokutana nayo ukitaka kuamin ilo angalia siku yanga akikamia mechi wachezaj wa simba wanavyopata shida au angalia mech ya kwanza ya kcfc kule south kama simba wangefanya vzur ktk dilisha dogo baada ya kufka robo final bas mwaka huu walikua wanaishia nusu au fainal maana walikua na njia rais kulko mwaka wowote lkn aya mazalau yao na kujiona wao kila mchezaj wao mzur yamewaponza na yatawaponza ,ufike wakat si sahihi kuoneana aibu au kuwakumbatia wachezaj kisa walifanya vzur miaka ya nyuma au ukimuacha atachukulia na timu fulan mtu kiwango kimeshuka aachwe aje mwingne ni bora ukawa na wachezaj 25 wenye viwango vzur kuliko kujaza ad 30 au zaid wengine ata mech ndogo ukiwapanga hawafany vzur tusiongee tu tumekua au tumeendelea kwa maneno kuendane na vtendoSimba ya sasa sio ya maneno mengi,focus ni kimataifa hapa Bongo tushamaliza kazi akuna wakutusumbua,tunapiga yeyote yule kama Bruce Lee,"dadadeki"
Confirmed.Hvi miquisone anaenda Misri?
Mbona unaumia Sana kuliko hata wahusika!?Sikatai kaur yako ila unavyokua bora ww ndo njia ya wenzako kujua uzur wako na udhaifu wako mwsho wapo watu watakuja watakupa apo ulipo na ndio maana miaka minne nyuma simba ilijua ubora wa yanga wakajipanga na wao wakawaizd yanga vivyo ivyo ata kwa simba kuna yanga na azam sio kama wanarizka na ubora wa simba hapana na wao wanafanya juu chin sio kusubr simba ashuke ubora ikiwezekana ata kumshusha ,mm nakuakikishia hiv simba wasipofanya usajir zaid ya wachezaj wanne tena wa viwango ligi inayokuja watazd kupata tabu ya ndan mpaka ya nje wachezaj wa simba kuna baadh bado wana hali na uwezo wa kucheza ila weng wanategemea na ubora wa timu wanayokutana nayo ukitaka kuamin ilo angalia siku yanga akikamia mechi wachezaj wa simba wanavyopata shida au angalia mech ya kwanza ya kcfc kule south kama simba wangefanya vzur ktk dilisha dogo baada ya kufka robo final bas mwaka huu walikua wanaishia nusu au fainal maana walikua na njia rais kulko mwaka wowote lkn aya mazalau yao na kujiona wao kila mchezaj wao mzur yamewaponza na yatawaponza ,ufike wakat si sahihi kuoneana aibu au kuwakumbatia wachezaj kisa walifanya vzur miaka ya nyuma au ukimuacha atachukulia na timu fulan mtu kiwango kimeshuka aachwe aje mwingne ni bora ukawa na wachezaj 25 wenye viwango vzur kuliko kujaza ad 30 au zaid wengine ata mech ndogo ukiwapanga hawafany vzur tusiongee tu tumekua au tumeendelea kwa maneno kuendane na vtendo
Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sasa wanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu.
Kumbuka tuna wachezaji umri umewatupa kama John Boco, Onyango wakipata injury tu basi tumekwisha msimu ujao.
Sikatai kaur yako ila unavyokua bora ww ndo njia ya wenzako kujua uzur wako na udhaifu wako mwsho wapo watu watakuja watakupa apo ulipo
Utakua wa Kadashi wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]Lekagashi nang'ho bhuholo mbonge
Utopolo tuliza makalio...unayachezesha sana. Mwiko utatoka. Hakuna mchezaji anayetakwa na Simba akachukuliwa na Yanga. Hamna. Sasa wewe tulia ili mwiko ukae vizuri.Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sasa wanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu.
Kumbuka tuna wachezaji umri umewatupa kama John Boco, Onyango wakipata injury tu basi tumekwisha msimu ujao.
Usiache. Kule kwenye uzi wako endelea kujifanya Simba. Nami ntajifanya Simba ili baadaye tuwagombanishe. So usishtuke ukiona najifanya kuikandia Yanga.
Mambo vipi lakini? Kwenye group letu umenyamaza sana. Ila Simba wamekua sana. Wanautulivu flani sielewi kwa nini wapo cool. Manara tumemtumia hajaleta faida. Maboss wana mmind kuwa anakula sehemu zote.