Mind your businessNyie akuna cha ligi ya bara wala nini, mapungufu yenu yapo kote kote mnayo bahati tu mmekuwa mnakutana na timu ambazo zinashindwa kuwapelekea moto, rejea mechi ya geita gold uliona kitu gani ebu niambie, pia rejea mechi na ruvu shooting uliona nini,,,,Kama unauelewa mpira na sio shabiki oya oya utanieleza ulichokiona kwenye izo mechi kiufundi na sio blah blah!
Umeshindwa kuvumilia utopolo wako...Simba rekebisheni makosa yenu mapema vinginevyo msije mkaanza kuwananga wachezaji kuwa wamewahujumu timu yenu bado Sana kiufundi na kibaya zaidi yamekuwa ni mapungufu ya kujirudia rudia ina maana kocha ajaona icho kitu au anasubili aibu tarehe 11
Pambana na timu yako Ankooo...ushauri peleka angazaUmbumbumbu wenu utaonekana iyo trh 11, Kama kocha wenu atakuwa na akili Kama zako tutashuudia viti vikivunjwa kwa Mara nyingine pale kwa mkapa
Hatutaki ushauri toka kwa machokoUna ushabiki wa kishamba sijui umetoka tarime
Jamaa kashauri vitu ambavyo ni kweli
Maajabu haya... Utopolo iliyotolewa mashindano ya CAF bila kufunga hata goli moja eti wamekuwa washauri!!Tungeshauriwa na timu inayoshiriki michuano ya CAF, hapo sawa. Sasa utopolo wanashiriki nini?
Ni kweli Yanga sio saizi yetu, na ndio maana hattaki ushauri wao. Ni sawa na Musukuma kumshauri Kitila Mkumbo (alaa, kumbe wote ni madaktari, sorry)... wewe umemeambiwa unakurupuka kujifananisha na yanga, na halafu kila siku mnasema yanga sio saizi yenu
zuzu kweli.acha kuruka ruka tunajadili mechi ya Simba vs Red Arrows.Umbumbumbu wenu utaonekana iyo trh 11, Kama kocha wenu atakuwa na akili Kama zako tutashuudia viti vikivunjwa kwa Mara nyingine pale kwa mkapa