Simba mmefanikiwa kusonga mbele lakini rekebisheni mapungufu yenu haraka kabla amjakutwa na aibu mbele ya safari

Simba mmefanikiwa kusonga mbele lakini rekebisheni mapungufu yenu haraka kabla amjakutwa na aibu mbele ya safari

Goli la pili ilikuwa free header, pascal Wawa hakuruka hata kidogo ingawa alikuwa karibu na mfungaji. Kuna uwezekano Wawa kiwango kimeshuka au kachoka sana.
Mechi ijayo trh 11 wawapange ivyo ivyo na waendelee kukabia macho watakachokutana nacho watasimulia acha waendelee kupayuka
 
Sasa kama Simba ina mapungufu, si utopolo mnatakiwa kukaa kimya ili myatumie mapungufu hayo, mbona mnatoa sana ushauriii? 🤣🤣🤣
Una ushabiki wa kishamba sijui umetoka tarime
Jamaa kashauri vitu ambavyo ni kweli
 
Nyie akuna cha ligi ya bara wala nini, mapungufu yenu yapo kote kote mnayo bahati tu mmekuwa mnakutana na timu ambazo zinashindwa kuwapelekea moto, rejea mechi ya geita gold uliona kitu gani ebu niambie,,,,pia rejea mechi na ruvu shooting uliona nini,,,,Kama unauelewa mpira na sio shabiki oya oya utanieleza ulichokiona kwenye izo mechi kiufundi na sio blah blah!
Hivi unajua kuwa timu yako ilikuwa inashiriki mashindano haya na ikapanda ndege mara moja tu? Au unajisahaulisha tu.
 
Hivi unajua kuwa timu yako ilikuwa inashiriki mashindano haya na ikapanda ndege mara moja tu? Au unajisahaulisha tu.
Me mpenzi wa simba ila naamini yanga wangekua na wachezaji wao waliowasajili msimu huu wangefuzu
 
Kwa nini asiishauri Yanga yake iliyopigwa nje ndani?
Hilo ndio tatizo lenu
Kila mnapopewa ushauri mnajifananisha na yanga, kwani yanga wanacheza huko? , hata kuifunga yanga kwenyewe hamuwezi,

Chukueni ushauri kwa manufaa yenu, wewe umemeambiwa unakurupuka kujifananisha na yanga, na halafu kila siku mnasema yanga sio saizi yenu

Acha ukolo mzee mtu mzima
 
Simba ina watalaam wake , huu ushauri kutoka kwa nyinyi walozi ni wa kujifurahisha tu.
Hao wataalamu mbona wameshindwa kurekebisha makosa mara nyingi mnabanwa mbavu, na bado terehe 11 cha moto.
 
Me mpenzi wa simba ila naamini yanga wangekua na wachezaji wao waliowasajili msimu huu wangefuzu
Kwani waliocheza ni wachezaji waliowasajili msimu upi? Yaani kukosa wachezaji 3 tena kwa uzembe wao ndio imekuwa sababu kutofuzu? Ina maana wangefuzu hao wachezaji wakawa majeruhi au washindwe kucheza kwa sababu ingine ingekuwaje?
Fei, mukoko, diara, yacouba, job, nk. Walikuwepo wote.
 
Hao wataalamu mbona wameshindwa kurekebisha makosa mara nyingi mnabanwa mbavu, na bado terehe 11 cha moto.
Kwa hiyo watalaam wa simba wakishindwa utopolo ndio wanakuwa washauri? Shaurini timu lenu.
 
Back
Top Bottom