Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi ijayo trh 11 wawapange ivyo ivyo na waendelee kukabia macho watakachokutana nacho watasimulia acha waendelee kupayukaGoli la pili ilikuwa free header, pascal Wawa hakuruka hata kidogo ingawa alikuwa karibu na mfungaji. Kuna uwezekano Wawa kiwango kimeshuka au kachoka sana.
Umri🤣🤣🤣🤣Wachezaji awataki kabisa kushughulisha miili wapo wapo tu mipila inapita wanaitazama tu.
Akili inataka lakini miili haitakiWachezaji awataki kabisa kushughulisha miili wapo wapo tu mipila inapita wanaitazama tu.
Una ushabiki wa kishamba sijui umetoka tarimeSasa kama Simba ina mapungufu, si utopolo mnatakiwa kukaa kimya ili myatumie mapungufu hayo, mbona mnatoa sana ushauriii? 🤣🤣🤣
Kuna mtopolo ananambia wazee wa nssf wamefuzu hatua ya makundi.Umri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣watu buaanaaaKuna mtopolo ananambia wazee wa nssf wamefuzu hatua ya makundi.
Hivi unajua kuwa timu yako ilikuwa inashiriki mashindano haya na ikapanda ndege mara moja tu? Au unajisahaulisha tu.Nyie akuna cha ligi ya bara wala nini, mapungufu yenu yapo kote kote mnayo bahati tu mmekuwa mnakutana na timu ambazo zinashindwa kuwapelekea moto, rejea mechi ya geita gold uliona kitu gani ebu niambie,,,,pia rejea mechi na ruvu shooting uliona nini,,,,Kama unauelewa mpira na sio shabiki oya oya utanieleza ulichokiona kwenye izo mechi kiufundi na sio blah blah!
Me mpenzi wa simba ila naamini yanga wangekua na wachezaji wao waliowasajili msimu huu wangefuzuHivi unajua kuwa timu yako ilikuwa inashiriki mashindano haya na ikapanda ndege mara moja tu? Au unajisahaulisha tu.
Kwa nini asiishauri Yanga yake iliyopigwa nje ndani?Una ushabiki wa kishamba sijui umetoka tarime
Jamaa kashauri vitu ambavyo ni kweli
Simba ina watalaam wake , huu ushauri kutoka kwa nyinyi walozi ni wa kujifurahisha tu.Una ushabiki wa kishamba sijui umetoka tarime
Jamaa kashauri vitu ambavyo ni kweli
Uwezi kuipima Simba kwa kucheza na timu ya yanga ambayo inaabudu uchawi,Hilo halina ubishi ngoja tar 11 tuone kama tuna kocha au ni uzushi.
Hilo ndio tatizo lenuKwa nini asiishauri Yanga yake iliyopigwa nje ndani?
Hao wataalamu mbona wameshindwa kurekebisha makosa mara nyingi mnabanwa mbavu, na bado terehe 11 cha moto.Simba ina watalaam wake , huu ushauri kutoka kwa nyinyi walozi ni wa kujifurahisha tu.
Kwani waliocheza ni wachezaji waliowasajili msimu upi? Yaani kukosa wachezaji 3 tena kwa uzembe wao ndio imekuwa sababu kutofuzu? Ina maana wangefuzu hao wachezaji wakawa majeruhi au washindwe kucheza kwa sababu ingine ingekuwaje?Me mpenzi wa simba ila naamini yanga wangekua na wachezaji wao waliowasajili msimu huu wangefuzu
Kwa hiyo watalaam wa simba wakishindwa utopolo ndio wanakuwa washauri? Shaurini timu lenu.Hao wataalamu mbona wameshindwa kurekebisha makosa mara nyingi mnabanwa mbavu, na bado terehe 11 cha moto.
Mmebaki kujifariji na hilo la dabi wanaume tunasonga mbele, pesa KWANZA dabi badaeHilo halina ubishi ngoja tar 11 tuone kama tuna kocha au ni uzushi.