Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Hapo vip!
Ukitazama kwa jicho latatu unaona kabisa hizi faini wanazopigwa Simba sio haki,ila nikwasababu wanajua club ya Simba inapesa hivyo wanatengeza faini za kijanja ili hiyo bodi inayongozwa na viongozi maskini wapate mkate wa chai.
Ni wazi bodi inaibeba Yanga katika vitu vingi ila Simba hawataki ujanja kutoka hiyo bodi.
Nawanajua kabisa wakiipiga faini yanga hawezi kuzipata hizo pesa kwasababu ni club masikini na hawezi kutoa hizo pesa kwasababu pia wanakopaga pesa bodi ya ligi ili kusajili wachezaji.
Hii club masikini iliyoanzishwa na wavuvi wa samaki na mapusha wa kariakoo wanapenda kubebwa bebwa sana.
Sasa nawashauri Simba msikubaliane na hizi faini kwasababu bodi ya ligi ipo pale kuwagandamiza na sio kuwasaidi...chakuufanya kateni rufaa hata TFF.