Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
We masikini unaekosa mpaka pesa kuingia uwanja peleka uchafu huko..imagine mpaka mpikiwe na pilau na kulipiwa nauli ndio mnaingia uwanja...hata pesa ya kula uwanjani hamna...club ni masikini na mashabiki wke ni walala hoi..kumx kabisaKwakweli Mangungu ana kazi sasa mtu kama huyu unamuongozaje?
Sijajua hawa viongozi wa Simba wanafanya nini?huu ni wakati wa kusimama Imara na kuwa na msimamo kwaoHizi faini walizopigwa Simba hazieleweki wakati kuna timu imetoboa matobo ya vyumba imeachwa hivihivi
Wale madikini hawana kitu...kazi kuipendelea club ya kisiasa masikini...inayoisho kwa propagandaHizo faini imekua sehemu ya chakula kwa hiyo bodi..
viongozi wa Simba hawajui thamani ya timu yao ndio maana wanapelekeshwaSijajua hawa viongozi wa Simba wanafanya nini?huu ni wakati wa kusimama Imara na kuwa na msimamo kwao
njaa inakutesa utachukia kila mtuWe masikini unaekosa mpaka pesa kuingia uwanja peleka uchafu huko..imagine mpaka mpikiwe na pilau na kulipiwa nauli ndio mnaingia uwanja...hata pesa ya kula uwanjani hamna...club ni masikini na mashabiki wke ni walala hoi..kumx kabisa
Hata wakikataa haisaidii kitu maana hizo wanakatwa juu kwa juu moja kwa mojaHapo vip!
Ukitazama kwa jicho latatu unaona kabisa hizi faini wanazopigwa Simba sio haki,ila nikwasababu wanajua club ya Simba inapesa hivyo wanatengeza faini za kijanja ili hiyo bodi inayongozwa na viongozi maskini wapate mkate wa chai.
Ni wazi bodi inaibeba Yanga katika vitu vingi ila Simba hawataki ujanja kutoka hiyo bodi.
Nawanajua kabisa wakiipiga faini yanga hawezi kuzipata hizo pesa kwasababu ni club masikini na hawezi kutoa hizo pesa kwasababu pia wanakopaga pesa bodi ya ligi ili kusajili wachezaji.
Hii club masikini iliyoanzishwa na wavuvi wa samaki na mapusha wa kariakoo wanapenda kubebwa bebwa sana.
Sasa nawashauri Simba msikubaliane na hizi faini kwasababu bodi ya ligi ipo pale kuwagandamiza na sio kuwasaidi...chakuufanya kateni rufaa hata TFF.
Nahisi wale pia niwapiga dili...hamna viongozi paleviongozi wa Simba hawajui thamani ya timu yao ndio maana wanapelekeshwa
Simba hawana asili ya uchawi ila yanga ndio asili yao,alichomwaga duchu pale uwanjani..ni maji ya upako ya kuharibu uchawi wa yanga siku ile...ndio maana yanga walipoteana,mauchawi yaliharibiwa na maji ya upakoUmeongea na hasira ndugu ila ukweli ni kuwa simba hawajielewi na hajaiamini. Kuna haja gani kukataa kutumia vyumba vya kubadishia mara uchawi uwanjan afu unalia kuwa wanaonewa. Ingekua hakuna sheria wachezaji wangekua wanavalia kabisa nyumbani kwao na kuja uwanjani moja kwa moja. Viongoz wa simba hawana ushirikiano kila mtu anajaza tumbo lake na kusahau kinachofaa kufanywa. Tulieni mkaangwe mr.
We masikini mimi sina njaa...ni mshabiki wa Simba niyejitoshekeza...na washabiki wa Simba wengi ni matajiri...sio yanga ambao ni masikini na walalahoinjaa inakutesa utachukia kila mtu
maji ya upako kaanza lini hiyo huduma na ukisema yanga kwanza angalia waliko kwa sasa. Pili mda mwingne simba nasema hawajiamini kwa sababu swala la bodi ya ligi lazma waitaje yanga mbona akina azam singda jkt na akina fountain huko hawailalamikii yanga ni simba inalalamika kila kukicha. Wanajua kua hizo faini inazopigwa pesa yanga wanapewa. Siku simba mtaitoa yanga mioyoni mwenu mtapiga hatua sana.Simba hawana asili ya uchawi ila yanga ndio asili yao,alichomwaga duchu pale uwanjani..ni maji ya upako ya kuharibu uchawi wa yanga siku ile...ndio maana yanga walipoteana,mauchawi yaliharibiwa na maji ya upako
Wakati TFF imajadili kuweka kampuni moja ya Gaming kuuza odds sikusikia kauli ya kiongozi yoyote kujua haki zao zipo wapiNahisi wale pia niwapiga dili...hamna viongozi pale
Kwa uthibitisho upi kuwa hiyo timu ndiyo imehusika kutoboa?Hizi faini walizopigwa Simba hazieleweki wakati kuna timu imetoboa matobo ya vyumba imeachwa hivihivi
Hahaha!ama kweli ukiwa kiongozi unalazimika kuongoza watu wa aina zote-vichaa,mandondocha n.kKwakweli Mangungu ana kazi sasa mtu kama huyu unamuongozaje?
Una Safari ndefu binti, matajiri hawapo kama wewe 😂😂We masikini mimi sina njaa...ni mshabiki wa Simba niyejitoshekeza...na washabiki wa Simba wengi ni matajiri...sio yanga ambao ni masikini na walalahoi