Simba na ndoto zao za Robo Fainali Mwisho leo. SImba akishinda leo ole wangu, niadhibiwe vibaya sana

Simba na ndoto zao za Robo Fainali Mwisho leo. SImba akishinda leo ole wangu, niadhibiwe vibaya sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Yaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo fainali

hawa SImba ni wachovu sana mpaka mwishowe tunawaonea huruma tu..... team haina kitu imejichokea haina pumzi haina mbinu .... utadhani Temeke Combine.

NIpo hapa Leo SImba akishinda nipigwe ban ya siku 3
 
bob tunapiga sana vita ushoga na vitendo vinavyoelekea ushoga. so please jitahidi usieneze hii tabia kwa wenzio.maana wewe huwa unaona kufanywa hivyo ndo kitu pekee unapenda duniani.
Siunajiamini kwamba simba anakufa leo? najua huko nyuma unapazingatia sana mpaka umeshaweka na sheria nyuma mwiko, sasa waambie masela hapa jf wakufanyeje huko mwikoni endapo mnyama ataua mwarabuuto leo? sema.
 
Ndoto ya Uto ndiyo robo fainali, ya Simba timu kubwa ni Nusu fainali
 
Siunajiamini kwamba simba anakufa leo? najua huko nyuma unapazingatia sana mpaka umeshaweka na sheria nyuma mwiko, sasa waambie masela hapa jf wakufanyeje huko mwikoni endapo mnyama ataua mwarabuuto leo? sema.
bob hii akili sisi wengine tulikuwa nayo miaka ya 80s huko kwa sasa tumehama kabisa katika akili hizi na huwa hata hatuwazi haya ya kipuuzi au kitoto.
 
bob hii akili sisi wengine tulikuwa nayo miaka ya 80s huko kwa sasa tumehama kabisa katika akili hizi na huwa hata hatuwazi haya ya kipuuzi au kitoto.
Nahiyo akili ya kichawi na kumwombea njaa jirani yako ndo jambo jema siyo?
 
Back
Top Bottom