SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ule mwiko uzamishwe wote kabisa.Sema, mnyama akishinda ufanywe nini huko nyuma? sema mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule mwiko uzamishwe wote kabisa.Sema, mnyama akishinda ufanywe nini huko nyuma? sema mwenyewe.
Anataka kuwekwa kituHuyu Chizi anataka adhabu gani
sawa utaadhibiwa na maishaYaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo fainali
hawa SImba ni wachovu sana mpaka mwishowe tunawaonea huruma tu..... team haina kitu imejichokea haina pumzi haina mbinu .... utadhani Temeke Combine.
NIpo hapa Leo SImba akishinda nipigwe ban ya siku 3
Una hamu sana naona.Anataka kuwekwa kitu
Leo umeuponza kijana.....Una hamu sana naona.
Ulijuaje,yaani mtwangio wangu leo unahitaji kinu chako kinoma.Una hamu sana naona.
Type matoleo ya mechi kiongozi, maana wengine game hatujaangalia aiseeh!!Yaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo fainali
hawa SImba ni wachovu sana mpaka mwishowe tunawaonea huruma tu..... team haina kitu imejichokea haina pumzi haina mbinu .... utadhani Temeke Combine.
NIpo hapa Leo SImba akishinda nipigwe ban ya siku 3
Hilo jamaa halitasogeza pua zake hapaUle mwiko uzamishwe wote kabisa.
Sasa mkuu mamboko yanakuhusu!..😂we jamaa ni al shababy nini??????????????????????????????unataka nisiweze tena kukaa na kupost JF?
Kaomba fimbo...😅Mods msiwe mnaelea wehu...mpeni alichoomba
Na achapweeeKaomba fimbo...😅