James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
Jina lako linaakisi akili yako ilivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ondoa neno yeyote, weka neno 5imba.Leo hatutaki droo tumezichoka, piga ua yeyote apigwe leo.
na lako lina akisi akili yako. mpaka sasa umeshatunga vitabu vingapi?Jina lako linaakisi akili yako ilivyo
Hata Yanga nao mwisho ni keshoYaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo fainali
hawa SImba ni wachovu sana mpaka mwishowe tunawaonea huruma tu..... team haina kitu imejichokea haina pumzi haina mbinu .... utadhani Temeke Combine. NIpo hapa Leo SImba akishinda nipigwe ban ya siku 3
pole sana kuwa na uelewa huu wa kitoto. wana simba wenzio wenye akili tumechat kwa kutumia maneno ya akili na uelewa sababu wana elimu nzuri na busara. wewe umeandika kutokana na mazingira uliyo lelewa. so sikulaumu ni wazazi wako nadhani wamekuzooesha hivyoPale mleta uzi anapotafuta bwana kijanja. 🤔
Yanga kesho tunampasua mtu kinyama.......utaona. nipo hapaHata Yanga nao mwisho ni kesho
Sasa kama wewe ni kipenzi cha ban si uwasilishe ombi lako kwa zirair mtoa roho!NIpo hapa Leo SImba akishinda nipigwe ban ya siku 3
goal moja maalim alisema litakuwa ni la penalty simba watafungwaLeo Simba anakufa mapemaa hatasumbua kabisa,chemalon atasababisha penalty second Half
Katafute mganga haraka wa kubadili matokeo la sivyo adhabu ipo juu yako.Yaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo fainali
hawa SImba ni wachovu sana mpaka mwishowe tunawaonea huruma tu..... team haina kitu imejichokea haina pumzi haina mbinu .... utadhani Temeke Combine.
NIpo hapa Leo SImba akishinda nipigwe ban ya siku 3
Njoo hapa we mwakinyo.Yaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo fainali
hawa SImba ni wachovu sana mpaka mwishowe tunawaonea huruma tu..... team haina kitu imejichokea haina pumzi haina mbinu .... utadhani Temeke Combine.
NIpo hapa Leo SImba akishinda nipigwe ban ya siku 3
BannedYaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo fainali
hawa SImba ni wachovu sana mpaka mwishowe tunawaonea huruma tu..... team haina kitu imejichokea haina pumzi haina mbinu .... utadhani Temeke Combine.
NIpo hapa Leo SImba akishinda nipigwe ban ya siku 3
Yasalimishe masaburi yako kabisaYaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo fainali