Simba na ndoto zao za Robo Fainali Mwisho leo. SImba akishinda leo ole wangu, niadhibiwe vibaya sana

Leo Simba anakufa mapemaa hatasumbua kabisa,chemalon atasababisha penalty second Half
 
Hata Yanga nao mwisho ni kesho
 
Pale mleta uzi anapotafuta bwana kijanja. 🤔
pole sana kuwa na uelewa huu wa kitoto. wana simba wenzio wenye akili tumechat kwa kutumia maneno ya akili na uelewa sababu wana elimu nzuri na busara. wewe umeandika kutokana na mazingira uliyo lelewa. so sikulaumu ni wazazi wako nadhani wamekuzooesha hivyo
 
Katafute mganga haraka wa kubadili matokeo la sivyo adhabu ipo juu yako.
 
Njoo hapa we mwakinyo.
 
Banned
 
Yasalimishe masaburi yako kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…