Simba na Yanga ni ngao ya kupumbaza wananchi wasifuatilie mambo muhimu ya nchi

 
Mkuu Kama wewe hupo serikalini basi fanya juhudi na kizazi chako kijeekuingia serikalini na Kama wewe sio mchezaji wa mpira basi fanya juhudi kizazi chako kiingie kwenye timu za mpira afu ndio utajuwa kwann watanznia tumekua wajinga na haya mambo kwa saiv ni mabaya haya kwa sababu wanaofanya family baki ila Kama zingekuwa ni familia zetu basi tungeona utamu wa hili
Muhimu ni mtu kupambana na hali yake tukijali mambo ya watu amabo hana nguvu ya kuwamnia tutapoteza
 
Ni unakuta mtu mzima hadi mate yanamtirika anachobishana ni simba na yanga
Apo hajui familia itakula nini

Hatukatai mijadala ya mipira ila kwa Tanzania imekuwa ujinga
Pia una poromosha maadiri, just imagine baba na mtoto wanabishana mpaka kutoleana maneno makali kisa Simba na yanga tu,
 
Ndio wanasiasa wanatugeuza wanavyotaka
Hatujamalizaaaaaa

Mlete mzungu
Mlete mzungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Watanzania tunamatatizo ya akili, tukiongozwa na wakazi wa dasalama.
 
Duniani kote iko ivo.
 
Umeongea kweli tupu,Tena kweli kabisa...YANGA NA SIMBA NI TIMU ZA HOVYOOO MNOOO,SIONI SABABU YA KUENDELEA KUZISHABIKIA WAKATI HAZIJITAMBUI....KUANZIA VIONGOZ MPAKA MASHABIKI,TENA MASHABIKI NDIO MANYUMBUUU YA KUTUPWA
 
Hatuzungumzi mtu binafsi

Hili swala la Simba na yanga ni mtambuka linaharibu nchi yetu
Ni vile tu wewe akili zako zinaishia kwenye kutafuta connection upate ajira
 
Mi huwa inaniuma sana nikisikia haya matimu.
Ushabiki wa siku hz ni wa kishamba sana.
Yaani mashabiki wamekuwa Malimbukeni wa hii mitimu.
Zamani timu hz zilikuwa za wazaramo pale Jangwani na Msimbazi, lkn siku hz huko mikoani hata timu zao hawazishabikii tena!

Last week kuna coster kadhaa nliongozana nazo zimebeba mashabiki wa Mbeya, Iringa.
Yaani Wanyakyusa, wahehe eti nao ni wanaYanga na Simba.
Yaani natamani haya matimu yafutiliwe mbali
 
Dunia gani hiyo? Hakuna nchi yenye mashabiki wajinga km Tanzania

Angalia brazil ulikozaliwa mpira,wao lunapokuja gharama za maisha kupanda huwa wanaweka mpira kando

Misri na afrika kusini ambao ndio mpira upo juu kwa ligi gharama za maisha zikipanda huwezi kuta watu wana deal na mpira ni maandamano mwanzo mwisho

Sasa Tanzania kwa ukondoo wa kujadili simba na yanga ufananishe na watu wa maana?
Duniani kote iko ivo.
 
Ni mkakati wa kupumbaza watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…