Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Nimeangalia game ya Mamelody Vs Cotonsport. Mamelody wametimia kila idara aisee. Wachezaji wapo sawa kuanzia akili na miili.nimefatilia nikagundua wachezaji wa Mamelody sio wachezaji wa bei rahisi na wa kuokoteza.
Timu masikini azifiki nusu wala fainali CAF, kufika huko ni lazima kwanza kikosi kiwe na wachezaji wenye kiwango ambao ni ghali kuwalipa achilia mbali mishahara yao.
Msemaji wa Simba amesema malengo ya Simba ni kufika nusu fainali, msemaji wa Yanga aliyefungiwa alisema msimu huu Yanga watabeba ubigwa wa CAF.
Wanatudanganya sisi mashabiki kwasababu tunapenda kusikia maneno mazuri na sio kuambiwa ukweli wa mambo namna yalivyo.