Simba na Yanga ni timu za wanachama au matajiri wafadhili kwa sasa?

Simba na Yanga ni timu za wanachama au matajiri wafadhili kwa sasa?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kuna kitu kinachanganya kuhusu hizi timu za Kariakoo,

Kwa muda mrefu nilikuwa naona Simba na Yanga kama zilikuwa timu zinazomilikiwa na wanachama
,baada ya timu zote mbili kufanya kile wanaita mabadiliko ya mfumo ni kama zimetwaliwa na matajiri kwa sasa na wao ndio wamiliki na waendeshaji wa timu.

Au bado wanachama ndio wamiliki wa hizi timu na mimi ndiye sielewei ?
Nani ni nani kwenye hizi timu?
 
Kivyovyote vile lakini hao wazee kwenye hizo timu wanaboa sana
 
Wamiliki wanachama au mtu binafsi wewe inakuhusu nini? Muhimu timu iperform ishinde mataji hiyo ndiyo furaha ya mashabiki
 
simba tuliongelea sana kuhusu hatari ya hawa wazee lkni utoh mliendelea kukazia na kufanya kilomoni apate nguvu za kuichachafya simba..sshv yamegeuka kwenu mnaanza kuomba poo kama za simba. sijui wakati simba inahangaika na kilomoni UTOH mlijua nyie ni timu ya wazungu.. hamkujua simba na yanga ni mapacha wanaofanana kwa kila tabia.
 
Back
Top Bottom