PreGE2025 Simba na Yanga wameshakuwa Machawa Pro Max, wanafanya nini kwenye mkutano wa uzinduzi wa Sera ya Maji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu

Katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, leo Machi 22, 2025, katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, mshehereshaji wa tukio hilo Shaban Kisu, alionyesha jinsi Simba na Yanga zinavyotumika kisiasa kwa kupaza sauti "Oyee!" kwa vilabu hivyo kupitia wawakilishi wake, ambao ni viongozi waliokuwepo ukumbini.


Your browser is not able to display this video.
 
Safar bado n ndefu mm nazan n kilaa mtu aokoe nafs yake
 
Mtu mzima hovyo
 
Hizi timu ni za serikali haina ubishi, sisi huku mtaani ni kama tunachezewa shere tu!
 
Kwani hujui Mama anahitaji Kura za hao wote ili kuharalisha ushindi wake.

Na ukifatilia hapa Nchini, kuanzia asubuhi hadi usiku, wimbo huwa ni huo huo Simba & Yanga tu 🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…