Simba na Yanga warudiane

Simba na Yanga warudiane

Upuuzi wa timu lenu bovu kutolewa na Mashujaa kombe la FA. Tungekutana tuwape kichapo kingine, timu iongeze Bango
Mlibahatisha kumbe.

Kusema tu turudiane watu mnatetemeka hivi.
 
Yaani kisa kuifunga Azam isiyojua wachogombania kila msimu ndio uone Yanga mnaimudu?
Yanga ina kocha anayejua mbinu ya mpira aisee,
Yanga ina wachezaji wanaojua kupambania timu na kujituma na wenye uwezo na viwango.

Yanga imeshapata test kutoka kwa timu bora na mabingwa, mfano bingwa wa Misri, Algeria na Africa kusini hivyo usidhani hiyo Simba inayotembelea spirit ya kocha mpya ndio iifunge Yanga. Yaani mmefungwa goli 5 mkiwa na kocha ambaye ana unbeaten zaidi ya 29 lakini huyu kacheza vimechi vnne tu mmejiona tayari mnaimudu Yanga.
 
Ushashikwa akili na Ahmed Ally na ukavaba na wewe.

Yaani Kuna combinations zingine ni bahati mbaya nyie! Hebu fikiria mtu ni kolo lialia alafu ni ccm dam dam. Dah Mungu huyu!
Aisee we jamaa nilikua nakuheshimu mno ila heshima zangu bora nihamishie kwenye viazi tu maana vitanifaa hata kwa chipsi.
 
Ninavyo wajua Simba msimu ujao hawatasajiri vizuri kwa mara nyingine kutokana na huu upepo ulio wapitia kwa mechi za hivi karibuni. Badala mashabiki kutia pressure naona ni kama wamesahau yote.
 
Naishauri TTF wairudie mechi ya Simba na Yanga.

Ichezwe next week mashabiki tutachangia gharama za mchezo.
Ili itusaidie nini? Ki ufupi mkuu tumekandwa nje ndani! Tusubiri kwenye ngao ya jamii kama tutafuzu!
 
Zile kelele za hatumtaki Mangungu na Try again zineisha sasa hivi tatizo alikua Benchickah
🤣🤣🤣 ndio maana runa miaka zaidi ya 60 tokea tupate Uhuru nchi bado masikini!
 

Attachments

  • mwiko.jpg
    mwiko.jpg
    11.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom