Ni timu ambazo zina probability kubwa za kushinda, katika mechi 30 kuna mechi 20+ wanaweza kushinda
Tena hapo ukiondoa mechi 2 za derby na 2, probability inazidi
Je pana uwezekano wa kupiga pesa?
Mapato utayopata wakishinda mechi 20 kati ya 26 (ukiondoa 4 za debi na azam) yatazidi pesa utazoliwa kwa hizo game 6 zitazochana mkeka?
Makampuni ya kamari lengo kuu ni kupata faida, siku zote
odds zinalenga
kukudidimiza wewe! Simba vs Dodoma Jiji unakuta odds
1.20.
Pia
hushirikiana na timu husika hasa
kubwa kupanga matokeo kwa
kificho sana. Fuatilia timu kubwa zote kwa
jicho la tatu kama la tai utagundua huu mchezo.
Timu kubwa hasa za Ulaya zinapitia katika kipindi kigumu cha uchumi mara baada ya janga la
covid, kinachofanyika ni
kurudisha hela kwa njia ya haraka ili kukabiliana na hela za
mafuta za waarabu ambapo kamari imeonekana kama suluhisho.
Barca,Madrid,Juventus,Chelsea,Man U, Liverpool n.k, kuwa nazo
makini kwenye kamari.Ogopa timu anayomiliki Mmarekani na Muitaliano, hawa jamaa ni
mafia!
Ogopa
mitandao yao ya utabiri kote huko wanacheza na akili zako na kukupoteza!
Nb 1: Hakuna mtaalamu wa kamari ila kuna kuotea kwenye kamari.
Nb 2: Fuatilia mwenendo mzima wa timu na ligi kwa ukaribu na kwa jicho kali.
Nb 3 :Amini machale yako hasa yale yanayokutia hofu.
Nb 4: Usifuate mkumbo wa wengi!!!!!!!
Nb 5: Jilipue!!!!!!!
Ni mtazamo!