DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
- Thread starter
- #21
Hauwezi kucheza ukiwa nyumbani halafu eti ukae nyuma unasubiri kufanya counter, wale walishazidiwa na kuchoka. Mashabiki wao nao walishakata tamaa. Ila Simba inajuaga kuwanyamazisha waarabu.Wala hawakuchoka ile ni mbinu waliyoingia nayo uwanjani. Mpango wao ulikua kutafuta goli la mapema halafu wawaachie mkulupuke kama kuku aliekatwa kichwa huku wao wanawasubiri kwenye counter attack. Nakumbuka hata kocha wenu wa zamani Benchika aliwapa taadhari kwamba kuweni makini kulinda dakika 20 za mwanzo.
Kwa mpaka hawatabadilika sana sema tu watakuja na mpangp wa kupoteza muda. Sioni 5imba mkienda semis