Simba ni lini mlikuja kufanya mazoezi ya mwisho na mabasi mawili makubwa kwenye derby?

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Hii sio kawaida na sijawai kuiona kwamba Simba anaenda kufanya mazoezi ya mwisho siku Moja kabla ya mechi akiwa na mabasi mawili makubwa la wachezaji na jingine aijulikani limejaza watu wa shughuli Gani!

Wasimamizi wa uwanja nawapa kongole Kuna ujinga ulitaka kufanyika pale ndani kwa kisingizio cha mazoezi ya mwisho!

Derby uwa Ina mambo mengi na ukizubaa mwenzako akakuwai umekwisha utakiwi kufumba ata jicho Moja na kupoteza Umakini kwenye derby kwasababu ni mechi zinazochezwa zaidi nje ya uwanja!
 
Mechi moja na robo wanakuja saa tatu.
Au ndio kama asemavyo Kiembe huwaga hawalali kabisa.
Screenshot_20250307_221803_Instagram.jpg
 
Kisheria ama TFF hua wanataka wachezaji waje kufanya mazoezi saa ngapi..ikipendeza actually lazima tunaomba utuwekee ama u-quote kifungu hiko Cha Sheria
Nimekuulizwa swali hujajibu? Okay kisheria mda wa mechi yaani moja na robo mpaka tatu kamili.

Unakazi ya kuwaambia wenzako wanamental health,sasa wewe humu kwenye haya majukwaa unafanya nini?Maana unazurula kila uzi upo.
 
Hii sio kawaida na sijawai kuiona kwamba Simba anaenda kufanya mazoezi ya mwisho siku Moja kabla ya mechi akiwa na mabasi mawili makubwa la wachezaji na jingine aijulikani limejaza watu wa shughuli Gani!

Wasimamizi wa uwanja nawapa kongole Kuna ujinga ulitaka kufanyika pale ndani kwa kisingizio cha mazoezi ya mwisho!

Derby uwa Ina mambo mengi na ukizubaa mwenzako akakuwai umekwisha utakiwi kufumba ata jicho Moja na kupoteza Umakini kwenye derby kwasababu ni mechi zinazochezwa zaidi nje ya uwanja!
Hilo bus la pili mbona picha zake hatuzioni?
 
Kisheria ama TFF hua wanataka wachezaji waje kufanya mazoezi saa ngapi..ikipendeza actually lazima tunaomba utuwekee ama u-quote kifungu hiko Cha Sheria
Mechi za derby sijawai kuona timu inaenda pale kwa mkapa kufanya mazoezi ya mwisho,,kifungu kipo cha kufanya mazoezi kabla ya mechi but kwa derby sijawai kuona timu inaenda pale kufanya mazoezi ya mwisho Leo ndio ninaona Simba anataka kufanya icho kitu
 
Nimesikia baadhi ya wajinga wanasema Simba itagomea kucheza mechi labda tu niwaambie kanuni inasema ikidhibitika wamezuiwa kufanya mazoezi ni faini milioni Moja mpaka milioni 2 ama onyo,,na sio timu kupewa point Wala nini,,kwa maana iyo Simba wasije wakajichanganya wakawapa yanga point za mezani tunataka mbungi ipigwe!
 
Hii sio kawaida na sijawai kuiona kwamba Simba anaenda kufanya mazoezi ya mwisho siku Moja kabla ya mechi akiwa na mabasi mawili makubwa la wachezaji na jingine aijulikani limejaza watu wa shughuli Gani!

Wasimamizi wa uwanja nawapa kongole Kuna ujinga ulitaka kufanyika pale ndani kwa kisingizio cha mazoezi ya mwisho!

Derby uwa Ina mambo mengi na ukizubaa mwenzako akakuwai umekwisha utakiwi kufumba ata jicho Moja na kupoteza Umakini kwenye derby kwasababu ni mechi zinazochezwa zaidi nje ya uwanja!
Ndo uone Ulitaka waanzelini
 
Kwani walio izuia Simba isifanye mazoezi ni wasimamizi wa uwanja au makomando wa utopolo?
Alafu nyinyi Utopolo mna wazuia simba kufanya mazoezi kwenye uwanja wa taifa kama akina nani juu ya uwanja huo ? Mlichangia kiasi gani kwenye ujenzi wa uwanja huo?
 
Back
Top Bottom