Simba ni lini mlikuja kufanya mazoezi ya mwisho na mabasi mawili makubwa kwenye derby?

Hapo kuna mtu anatafutiwa sifa. Baadae atawapigia simu kuwaambia wacheze Mechi na watakubali, Machawa wataanza kumpongeza na kusema "bila yeye derby isingechezwa"
Inawezekana
 
Makomandoo wa Yanga wamewaambia Viongozi wa Simba kuwa wachezaji,viongozi na benchi lote la Simba wanajulikana na ndio wanapaswa kuingia uwanjani na si Wazee na Waganga waliokuwepo kwenye Bus la BM,viongozi wa Simba wakagoma nakutaka magari yote waliyokuja nayo watu wote waingie. Walipoona wamezuiwa wasiohusika wakaondoka.
Kwa nini wazee na waganga wanakatazwa kuingia uwanjani? Mbona huwa tunaona timu na wachezaji wanasali na kuswali uwanjani kabisa??
 
Ni lini na mechi Gani ya derby ulishaona timu inakwenda pale kwa mkapa kufanya mazoezi ya mwisho?
Kwa hiyo hapa mchawi ni wewe waliokuwa kwenye basi au wale wenye timu yenye wachezaji wanaofukua magoli ya wenzao.Kumbe ndio maana mlikimbia chamazi.Waliwakamata wachawi watuthibitishie tunguli zao.
 
Tuwekee kanuni ya kugomea mechi hizo hekaya za abunuwasi azitowasaidia chochote
 
Kwa nini wazee na waganga wanakatazwa kuingia uwanjani? Mbona huwa tunaona timu na wachezaji wanasali na kuswali uwanjani kabisa??
Hivi kivita makomando wa nchi nyingine wanaweza kulinda nchi zingine.Kama ni kweli tutakuwa na timu za ajabu sana.ila nitawashangaa zaidi Yanga.
 
Hii sio kawaida na sijawai kuiona kwamba Simba anaenda kufanya mazoezi ya mwisho siku Moja kabla ya mechi akiwa na mabasi mawili makubwa la wachezaji na jingine aijulikani limejaza watu wa shughuli Gani!

Wasimamizi wa uwanja nawapa kongole Kuna ujinga ulitaka kufanyika pale ndani kwa kisingizio cha mazoezi ya mwisho!

Derby uwa Ina mambo mengi na ukizubaa mwenzako akakuwai umekwisha utakiwi kufumba ata jicho Moja na kupoteza Umakini kwenye derby kwasababu ni mechi zinazochezwa zaidi nje ya uwanja!
Uandishi wa kiswahili fasaha ni tatizo kitaifa.
 
Tuwekee kanuni ya kugomea mechi hizo hekaya za abunuwasi azitowasaidia chochote
Nani akuwekee kanuni hapa mnafuga wachawi halafu mnatetea ujinga.Anza wewe kuweka kanuni zilizotumika kuzuia shughuli za timu isiyokuhusu.
 
Hii sio kawaida na sijawai kuiona kwamba Simba anaenda kufanya mazoezi ya mwisho siku Moja kabla ya mechi akiwa na mabasi mawili makubwa la wachezaji na jingine aijulikani limejaza watu wa shughuli Gani!

Wasimamizi wa uwanja nawapa kongole Kuna ujinga ulitaka kufanyika pale ndani kwa kisingizio cha mazoezi ya mwisho!

Derby uwa Ina mambo mengi na ukizubaa mwenzako akakuwai umekwisha utakiwi kufumba ata jicho Moja na kupoteza Umakini kwenye derby kwasababu ni mechi zinazochezwa zaidi nje ya uwanja!
Kanuni imeweka ukomo wa mabasi mangapi?!

Hata tungetaka kuja na 'Toyo' hakuna shida.
 
Hii sio kawaida na sijawai kuiona kwamba Simba anaenda kufanya mazoezi ya mwisho siku Moja kabla ya mechi akiwa na mabasi mawili makubwa la wachezaji na jingine aijulikani limejaza watu wa shughuli Gani!

Wasimamizi wa uwanja nawapa kongole Kuna ujinga ulitaka kufanyika pale ndani kwa kisingizio cha mazoezi ya mwisho!

Derby uwa Ina mambo mengi na ukizubaa mwenzako akakuwai umekwisha utakiwi kufumba ata jicho Moja na kupoteza Umakini kwenye derby kwasababu ni mechi zinazochezwa zaidi nje ya uwanja!
Hata yangekuja sita, si kazi ya muhuni kuyazuia kuingia. Kanuni haikataja limit au size ya bus
 
Usiseme mara kibao, toa mfano ni derby ipi kati ya Simba na Yanga uliwahi kushudia mazoezi ya mwisho yanaenda kutumika katika uwanja utakaotumika?
We unataka mifano ya nini,magari mangapi Simba walitakiwa kuwa nayo kwa mujibu wa sheria
 
Hapo kuna mtu anatafutiwa sifa. Baadae atawapigia simu kuwaambia wacheze Mechi na watakubali, Machawa wataanza kumpongeza na kusema "bila yeye derby isingechezwa"
Umeona mbali kama mimi ndugu.
Igizo linakuja.
 
Back
Top Bottom