Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kwahiyo, wangeweza kuja na mabasi kwa idadi ya machezaji? Kwamba kama wachezaji wapo 30, basi wangeweza kuja na mabasi 30 kila mchezaji na basi lake? Wallah tena, hii ni changamoto ya akili, si bure...!!!We unataka mifano ya nini,magari mangapi Simba walitakiwa kuwa nayo kwa mujibu wa sheria