holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
unaonekana wewe ni mlala hoi "kataa nikupe ushahidi"Apaa ndo Chama chakavu wanapochekeaa chooni kuona wameyakamata mataira yanayoshabikia Simba na Yanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaonekana wewe ni mlala hoi "kataa nikupe ushahidi"Apaa ndo Chama chakavu wanapochekeaa chooni kuona wameyakamata mataira yanayoshabikia Simba na Yanga.
Usiseme mara kibao, toa mfano ni derby ipi kati ya Simba na Yanga uliwahi kushudia mazoezi ya mwisho yanaenda kutumika katika uwanja utakaotumika?Mara kibao tu mboni hufanyika
Muache uongo haijawahi kutokea kitu kama hicho, mazoezi ya mwisho raundi ya kwanza Yanga hakwenda kufanyia kwa Mkapa. Simba mmetafuta sababu ya kukimbia mechi ila hakujawahi kuwa na utamaduni wa kutumia uwanja unaotarajiwa kuchezea mechi katika kufanya mazoezi ya mwisho.Gem ya round ya kwanza, yanga walifanya mazoezi ya mwisho tena usiku
Muda mwingine tumia akili. Mmeifunga simba mara nne mfululizo na mechi zingine akiwa ni mwenyeji hayo mabasi ya wazee mbona haya kusaidia? Timu za hovyo hizi zinaamini ujinga ujingaSasa wewe unaamua Nini[emoji23][emoji23][emoji23]
na lile bus limejaza wazee....Kwaajili ya mazoez???
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mechi ya Simba na Yanga iliyopita. Yanga waliruhusiwa na Mwenyeji wao simba kufanya mazoeziNi lini na mechi Gani ya derby ulishaona timu inakwenda pale kwa mkapa kufanya mazoezi ya mwisho?
Wewe utakuwa hufahamu, bora ukae kimya.Muache uongo haijawahi kutokea kitu kama hicho, mazoezi ya mwisho raundi ya kwanza Yanga hakwenda kufanyia kwa Mkapa. Simba mmetafuta sababu ya kukimbia mechi ila hakujawahi kuwa na utamaduni wa kutumia uwanja unaotarajiwa kuchezea mechi katika kufanya mazoezi ya mwisho.
Picha chini ni mazoezi ya mwisho ya Yanga kwenye raundi ya kwanza View attachment 3263127
Awakuruhusiwa walizuiwa piaMechi ya Simba na Yanga iliyopita. Yanga waliruhusiwa na Mwenyeji wao simba kufanya mazoezi
Muache uongo haijawahi kutokea kitu kama hicho, mazoezi ya mwisho raundi ya kwanza Yanga hakwenda kufanyia kwa Mkapa. Simba mmetafuta sababu ya kukimbia mechi ila hakujawahi kuwa na utamaduni wa kutumia uwanja unaotarajiwa kuchezea mechi katika kufanya mazoezi ya mwisho.
Picha chini ni mazoezi ya mwisho ya Yanga kwenye raundi ya kwanza View attachment 3263127
NI KWELI YAANI KILA MAHALI KWENYE MAGROUP YOTE NINAYOINGIA WANAJADILI SIMBA NA YANGA HAKUNA HABARI ZINGINECCM Ndio inapenda vijana Wa Tanganyika waweke nguvu zao huko kwenye simba Na YANGA".
Great thinker
Basi wewe uje na picha ikionesha wanafanya mazoezi ya mwisho wakiwa katika uwanja wa MkapaWhat if picha ni ya zamani?
Kwani kwenye maelekezo yako kuna jina la uwanja?
Swali lako halina logic, na aliekuuliza pia hujamjibu logic ila ngonjera.Nimekuulizwa swali hujajibu? Okay kisheria mda wa mechi yaani moja na robo mpaka tatu kamili.
Unakazi ya kuwaambia wenzako wanamental health,sasa wewe humu kwenye haya majukwaa unafanya nini?Maana unazurula kila uzi upo.
Hoja hujibiwa kwa hoja, kuishia kusema hufahamu kitu pasipo kuonesha huo ufahamu wako maanake hata wewe hufahamu kitu.Wewe utakuwa hufahamu, bora ukae kimya.
Logic ya nini wakati mwenye mamlaka wa uwanja huo hakuwa na taarifa? Sasa unataka logic wakati mmiliki kasema hakuwa na taarifa hiyo.Swali lako halina logic, na aliekuuliza pia hujamjibu logic ila ngonjera.
Hamna kifungu kina elekeza idadi ya mabasi au magari ambayo team inatakiwa ije nayo.
Mpira wa sasa ni kanuni na sheria sio uswahili uswahili, tumeshatoka hizo zama
unajua maana ya logic?Logic ya nini wakati mwenye mamlaka wa uwanja huo hakuwa na taarifa? Sasa unataka logic wakati mmiliki kasema hakuwa na taarifa hiyo.
Halafu hizi logic zineanzia jana? Yanga round ya kwanza hakuepewa nafasi ya kuutumia uwanja kabla ya mechi ,vip hapo logic haikutumika? au sheria na kanuni hazikuwepo?.unajua maana ya logic?
Team kama hiyo haiwez kwenda kufanya mazoezi kienyeji kama kanuni zinavyodai, tena si mara ya kwanza.
Kwamba ni wageni hawwjui taratibu?