Simba ni lini mlikuja kufanya mazoezi ya mwisho na mabasi mawili makubwa kwenye derby?

Sasa wewe unaamua Nini[emoji23][emoji23][emoji23]


na lile bus limejaza wazee....Kwaajili ya mazoez???

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Haya ingiza timu sasa
 
Sasa wewe unaamua Nini[emoji23][emoji23][emoji23]


na lile bus limejaza wazee....Kwaajili ya mazoez???

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nyinyi hili tukio mngefanyiwa nyinyi ww siungekuwa umesha andika nyuzi zaidi ya 5 kulalamika jinsi TFF inavyo ipendelea simba?
Suala la wazee linahusiana nini na wachezaji kuchanya mazoezi kama kuna watu ambao hawahusiki si unawazuia kuingia uwanjani unarihusu wahusika wanaendelea na mazoezi yao?
Alafu yanga ina mamlaka gani juu ya uwanja wa taifa?
 
Unajidanganya pole
 
CCM Ndio inapenda vijana Wa Tanganyika waweke nguvu zao huko kwenye simba Na YANGA".

Great thinker
Acha upuuzi!! Mada ngapi za kiuchumi, kijamii, kimazingira, michezo na kila nyanja zinajadiliwa hapa JF kila siku hujawahi kuongea hizi pumba but when it comes to Yanga na Simba ndiyo unaandika huu utaahira wako!!! Acha watu wajadili.
 
Huo uwanja ushafungwa na serikali na kibali ni siku ya mechi tu sio mazoezi, mbona kwenye mechi yao azam walienda wakazuiliwa leo wanajitoa akili.
 
Ni lini na mechi Gani ya derby ulishaona timu inakwenda pale kwa mkapa kufanya mazoezi ya mwisho?

Gem ya round ya kwanza, yanga walifanya mazoezi ya mwisho tena usiku
 

Sheria inaruhusu au Hairuhusu?
 
Kama hujui kitu kaa kimya ufiche umbumbumbu wako
 
Makomandoo wa Yanga wamewaambia Viongozi wa Simba kuwa wachezaji,viongozi na benchi lote la Simba wanajulikana na ndio wanapaswa kuingia uwanjani na si Wazee na Waganga waliokuwepo kwenye Bus la BM,viongozi wa Simba wakagoma nakutaka magari yote waliyokuja nayo watu wote waingie. Walipoona wamezuiwa wasiohusika wakaondoka.
 
Unaipangiaje timu kwamba iende na bus moja?

Huo ni usiku je kana amekwenda na mashabiki wake kama walinzi pia?
Je mashabiki wanazuiwa kuingia kwenye mazoezi ya mwisho?

Acheni uhuni ninyi nyuma mwiko lazima muwe na vitendo vya kiuwana michezo

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Muda wa mazoezi Tafadhali na muda wa kufanya usafi wa uwanja kama usafi utahitajika
 
Kwani kanuni zinasema mabasi mangapi yanahitajika kwenda nayo mazoezini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…