Simba ni timu ya kwanza katika historia kuanzia ugenini dhidi ya Waarabu

Sasa jombaa mbona unakuwa kama yoro masolo kampanyeroo dwasi ya fasi unga limited arifu.. hawa Libya si machalii kama sisi mazeee?!

Jitape ukianzia ugenini na Al Ahly, Esperance, Wydad na timu za Algeria kidogo..

Libya?
 
Timu ya taifa ya Libya ikicheza na katimu kenu kale kanakochana mikeka ya watu kila siku, mnapigwa nje ndani.

Deportivo de Utopolo wangepangwa na hawa hawa, mechi ya kwanza ingekuwa TZ
 
Yani Yanga ni mazezeta...group stage una uhakika wa kucheza mechi zaidi ya 3 hivyo unaweza kujipanga..yani unataka uende kwa waarabu kichwa kichwa wako full house..
Hao niwakusamehe bure wenye akili huko no wawili tu
 
Wewe ni kilema wa akili mashindano ya ndondo nani aangalie
Ni kweli wenye D2 ni WAWILI?! Yani wengine wooote, ni mavimavi kichwani.

Hayo ni maneno ya Alhaj Manara lakini.
 
Ni kweli wenye D2 ni WAWILI?! Yani wengine wooote, ni mavimavi kichwani.

Hayo ni maneno ya Alhaj Manara lakini.
Hamna mtu wa kuangalia hayo mashindano ya ndondo kama imekuuma chomoa mbumbumbu Wewe
 
Belouzidad tulianza nao vipi last season kwenye makundi? Alafu mabango kazi yake kubwa kuwakera makolo last season tulipga 5, 5 timu nyingi ila nyie ndio mliowekwa kwenye mabango
umeambiwa hatua ya mtoano wew unatuletea maswala ya makundi
 
Hivi ni kweli rage alisema nyie ni mbumbumbu nijibu mzee wa 5?
Aliwazungumzia Mashabiki, lakini mimi ni Mwanachama.

Vipi kuhusu Alhaj Manara aliesema kati ya woote, wenye akili ni wawili tu.

Sasa je, upo kwenye akili au mavimavi?
 
Jibu swali
Aliwazungumzia Mashabiki, lakini mimi ni Mwanachama.

Vipi kuhusu Alhaj Manara aliesema kati ya woote, wenye akili ni wawili tu.

Sasa je, upo kwenye akili au mavimavi?
Jibu swali wewe ni mbumbumbu kama rage alivyosema?
 
Tuweke record sawa Azam alianzia ugenini dhidi ya Al akhdar ya Libya
 
Jibu swali

Jibu swali wewe ni mbumbumbu kama rage alivyosema?
Aliwazungumzia Mashabiki, lakini mimi ni Mwanachama.

Vipi kuhusu Alhaj Manara aliesema kati ya woote, wenye akili ni wawili tu.

Sasa je, upo kwenye akili au mavimavi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…