3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Huyo si alibutuliwa 4-1 akawa analia lia kafungwa na simba queens sababu kocha ni mwanaumeUnamfahamu Edna Lema wewe! a.k.a Mourhino? Kama humfahamu basi subiri Ligi ya wanawake ianze
Isitoshe hata msimu ulioisha sq walifungwa kwa uzembe wa refa kutoa red card na kuitoa sq mchezoni