Simba Queens ni mfano wa kuigwa namna taasisi imara inavyoendeshwa kwenye mpira!

Unamfahamu Edna Lema wewe! a.k.a Mourhino? Kama humfahamu basi subiri Ligi ya wanawake ianze
Huyo si alibutuliwa 4-1 akawa analia lia kafungwa na simba queens sababu kocha ni mwanaume
Isitoshe hata msimu ulioisha sq walifungwa kwa uzembe wa refa kutoa red card na kuitoa sq mchezoni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utalia sanaa huu mwaka, na badooooo.

Ndo kwanza maumivu yameanza. Poleeeeeeeh
Maumivu ya simba kufungwa na yanga mfululizo?
 
Unamfahamu Edna Lema wewe! a.k.a Mourhino? Kama humfahamu basi subiri Ligi ya wanawake ianze
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Huyo kapigwa sana na Simba Qeens ameshinda mechi moja tu tena 1-0 wakati yeye anashushiwa vipigo vizito kabisa vya goli 4+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ