mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
kikosi cha timu ya wanawake simba queens kimesajili viungo wapya kutoka timu ya yanga princess. viungo hao washambuliaji ni Precius Christopher, kiungo mkabaji Saiki Atinuke na mlinzi wa kushoto Winkate Kaari. mambo ya ubaya ubwela