Simba queens yasajili viungo kutoka Yanga princess

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
kikosi cha timu ya wanawake simba queens kimesajili viungo wapya kutoka timu ya yanga princess. viungo hao washambuliaji ni Precius Christopher, kiungo mkabaji Saiki Atinuke na mlinzi wa kushoto Winkate Kaari. mambo ya ubaya ubwela
 
Safi, na huo ndiyo ujirani mwemana kukua kisoka
 
Precious mtoto mzuri sana yule wa Kinaija, analitendea haki jina lake. Wasije wakawa mamluki tu wa GSM wakawa maduka kama hawa tulioahangaika kuwaondoa.
 
Back
Top Bottom