SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Jana watoto wa mjini wamewapuliza tenaKazi kwenu mikia
Wana pointi 9 tu wajiandae sana kupambana na mwenye pointi 13...Sasa ni rasmi mpinzani wa Simba katika robo fainali ya CAF Champions League ni lazima awe mmoja kati ya timu hizi tatu; CR Belouizdad ya Algeria, Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini au MC Alger ya Algeria pia.
Hii ni baada ya mechi za makundi yote manne kumalizika leo na timu hizo kushika nafasi za pili sambamba na Al Ahly ya Misri ambayo hata hivyo haiwezi kukutanishwa na Simba kwa kuwa zinatoka katika kudi moja. Droo ya kumpata mpinzani mahususi itafanyika tarehe 30/04/2021. Misimamo ipo hivi:
View attachment 1748882
Natamani mamelod apewe hao wasenge aiseee mosimane atafanywa mbaya na timu yake ya zamani.....Al Ahly atakumbana na mojawapo kati ya Mamelodi, Esperance au Wydad Casablanca. Simba amewavurugia CAF utaratibu kabisa maana hawa wamezoea kukutana kuanzia nusu fainali
msimu uliopita bingwa al ahly uliopita tena bingwa mamelodiHongereni simb.. ndani ya misimu mitatu inayofatana mmefika robo fainali mara mbili... esperence ndani ya misimu mitatu hiyo hiyo mliyofika robo ametwaa ubingwa mara 2.. na timu ni ile ile haijabadilika.. why kwenye prediction mtu akiwapa nafasi ya kuwa mabingwa tena wewe unakasirika... kwenye comment ile sijaiponda timu yeyote.. nimeweka prediction yangu. Ila wewe unakasirika huku kuna timu 7 sijazipa nafasi ya ubingwa.. why wewe mmoja ujistukie
msimu uliopita bingwa al ahly uliopita tena bingwa mamelodi
sijui utopolo habari zenu mnaokota wa pi ?
Mkuu Car champions league ni tofauti sana na ligi za ndani ya nchi husika.sidhani kama ni kipimo sahihi,pata mifano ya As Vita na Mazembe.Wana pointi 9 tu wajiandae sana kupambana na mwenye pointi 13...
Kwenye ligi zao sasa
Cr belouizdad anashika nafasi ya 10
Kaizer chiefs anashika nafasi ya 9
Mc Algers anashika nafasi ya 11
Nusu fainali uhakika
Bora MC Alger,Kaizer Chief wanaupiga mwingi na kule mbele wapo vizuri.Kibonde hapo ni kaizer chiefs
Hongereni simba.. ndani ya misimu mitatu inayofatana mmefika robo fainali mara mbili... esperence ndani ya misimu mitatu hiyo hiyo mliyofika robo ametwaa ubingwa mara 2.. na timu ni ile ile haijabadilika.. why kwenye prediction mtu akiwapa nafasi ya kuwa mabingwa tena wewe unakasirika... kwenye comment ile sijaiponda timu yeyote.. nimeweka prediction yangu. Ila wewe unakasirika huku kuna timu 7 sijazipa nafasi ya ubingwa.. why wewe mmoja ujistukie
Kama jinsi ambavyo huwezi kuilinganisha Yanga na Simba Sc kwa sasa.Umemjibu vizuri sana,,, Esperance na simba wapi na wapi ni mbingu na ardhi.
Bora MC Alger,Kaizer Chief wanaupiga mwingi na kule mbele wapo vizuri.
This time bingwa hatatokea nchi za kiarabu.Hizo timu zote zilizofuzu.. bingwa anaenda kuwa esperence... kama unabisha tunza hii comment
Sasa ni rasmi mpinzani wa Simba katika robo fainali ya CAF Champions League ni lazima awe mmoja kati ya timu hizi tatu; CR Belouizdad ya Algeria, Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini au MC Alger ya Algeria pia.
Hii ni baada ya mechi za makundi yote manne kumalizika leo na timu hizo kushika nafasi za pili sambamba na Al Ahly ya Misri ambayo hata hivyo haiwezi kukutanishwa na Simba kwa kuwa zinatoka katika kudi moja. Droo ya kumpata mpinzani mahususi itafanyika tarehe 30/04/2021. Misimamo ipo hivi:
View attachment 1748882
Kwa uchezaji wa Kaizer chiefs nisingependa tukutane nao kabisa, wings zao zinasumbua sana watatufanya tusishambulie kupitia pembeni.Kibonde hapo ni kaizer chiefs
CR Belouzdad ameingia quarterfinal kwa mara ya kwanza hivyo ni timu underdog.Kwa upande wangu ningetamani Simba apewe kaizer chiefs, hawa jamaa uwezo wao ni kawaida compared na team zingine zilizovuka stage ya makundi, Kwanza hawana uzoefu kulinganisha na team zingine lakini pia hawana wachezaji hatari kama team zingine, japokuwa walipata ushindi dhidi ya Waydad ila hiyo haiondoi maana ya kwamba wao ndo kila mtu anawatamani
Hatua inayofata hao jamaa wa ngozi nyeupe (warabu) ukitoa mamelodi, warabu ni hatari Sana, wanaijua vizuri sana hii michuano lakini pia Wana mbinu nyingi Sana za kushinda hizi mechi kubwa, Ila Kwa kaizer chief yule Simba anammudu vizuri tu, kuanzia Hali za hewa kwao na bongo, mida ya game za kwao na kwetu almost the same, Simba at least anatakiwa kukutana na mwarabu nusu fainali ila akikutana nae robo kibarua kinaenda kuwa kigumu
Kibonde hapo ni kaizer chiefs
Salem mkuu,Kwa uchezaji wa Kaizer chiefs nisingependa tukutane nao kabisa, wings zao zinasumbua sana watatufanya tusishambulie kupitia pembeni.
Mc Algier tumeshacheza nae tukamfunga hadi huko huko kwao Algeria hivyo siyo threat sana kwetu na pamoja na uchezaji wao wanashambulia sana kupitia katikati hivyo kwetu itakuwa advantage kwa sababu tuna defensive midfield nzuri.
CR Belouzdad hawa threat pekee ni Mshambuliaji wao Gasmi nafikri, wanacheza taratibu sana na wanakabia juu sana hivyo kwetu itakuwa uchochoro kwa kina Luis Chama na wengineo.
Mc Algier na CR ndiyo mara yao ya kwanza kuingia quater final hivyo itakuwa vizuri kukutana na mgeni zaidi kuliko timu nyingine yoyote.