Kuna watu hawana afya za akili wanabisha ili wabisheAmempiga Mamelodi aliyekuwa ameweka kikosi B.
Hizo kauli zenu za kindezi sio mara ya kwanza kuzitoa halafu wenzenu wanaendelea kusonga mbeleSimba habari yake imeishia hapa labda wasubiri maajabu ya vipimo vya COVID 19 kwa wapinzani wao.......! Unaweza sikia wachezaji 11 wa kikosi cha kwanza wa timu pinzani wamekutwa na maambukizi! Wazee wa figisu hao!
kaizer chief,head to head imewabeba.walitoka sare tasa south Africa na jana wakatoka 2-2,wanafaida ya bao la ugenini
Kama huna habari, huyo Mc Alger ana historia ya kuchukua ubingwa kabisa, ukiachana na kuingia robo fainali.Kwa uchezaji wa Kaizer chiefs nisingependa tukutane nao kabisa, wings zao zinasumbua sana watatufanya tusishambulie kupitia pembeni.
Mc Algier tumeshacheza nae tukamfunga hadi huko huko kwao Algeria hivyo siyo threat sana kwetu na pamoja na uchezaji wao wanashambulia sana kupitia katikati hivyo kwetu itakuwa advantage kwa sababu tuna defensive midfield nzuri.
CR Belouzdad hawa threat pekee ni Mshambuliaji wao Gasmi nafikri, wanacheza taratibu sana na wanakabia juu sana hivyo kwetu itakuwa uchochoro kwa kina Luis Chama na wengineo.
Mc Algier na CR ndiyo mara yao ya kwanza kuingia quater final hivyo itakuwa vizuri kukutana na mgeni zaidi kuliko timu nyingine yoyote.
Ile game, huwezi kuitumia kipimo halisi cha nguvu ya kikosi cha Belouzdad. Mamelod kaingiza Asilimia kubwa ya kikosi B, na mpaka kuna mashabiki wake walikuwa wanaituhumu kuuza mechi.Kizeer chiefs pia, ile mechi yao ya nyumbani waliyoifunga Wydad, Wydad alikuwa kashafuzu na alichezesha vijana.Pamoja na yote hayo usishangae akabeba, nimewacheki wako fire. wana umoja, akili na nguvu. Kama ulicheki game yao na mamelody akamdundwa goli 2-0.
Mkuu sasa ndio kubashiri gani huko, Yani utabirie timu 4 kushinda ubingwa unakoseaje sasa, Yani Kwa mfano useme eti asipochukua ubingwa Madrid,bayan,psg,man city unitag unaona ina make sense kweli? Sasa bingwa asipotoka Kati Yao atatoka wapi, we sema bingwa labda atakuwa Fulani mambo ya kujaza team 4 eti unabashiri ni ajabuWydad [emoji818]
Esperance [emoji818]
Al ahly[emoji818]
Belouzdad[emoji818]
Wasipochukua kati ya awa wa 4, nitakutag,,,,
AsanteNi kanuni za mashindano ndivyo zilivyowekwa kabla ya michuano hii kuanza. Ni kwamba kanuni za mwaka huu za CAF CL zinasema timu itaangaliwa yenye points nyingi, zikilingana inaangaliwa Head To Head (H2H), kwamba mlipokutana nyie wawili mnaolingana, nani alimzidi mwenzake points, mkilingana inaangaliwa nani alimzidi mwenzake magoli, mkilingana inaangaliwa nani ana magoli mengi ugenini katika mechi zenu mlipokutana wawili tu, mkilingana ndio wanatoka nje ya H2H, wanaangalia goal difference ya ujumla ya mechi zenu kundi zima, na kadhalika.
Mechi ya kwanza ilipigwa South Africa, iliisha Kaizer Chiefs 0-0 Horoya. Mechi ya pili ilipigwa Guinea, iliisha Horoya 2-2 Kaizer Chiefs, kwa hiyo Kaizer Chiefs akawa juu ya msimamo wa ligi kwa kuwa ailpata sare ya mabao ugenini
Uko sahihi kabisa Mkuu,watu wengi wanadhani kuwa mshindi wa pili Ni Udhaifu,hebu fikiria Al Ahly Ni mshindi wa pili je Ni dhaifu?Hakuna easy game hapo, tusijiamini kupitiliza.
Sawa dada mvaa vjora. Level yenu ni KMCKazi kwenu mikia
SI anacheza na wa2. Wapili ni Wapili tu. Sio hao wakwanzaHow?
Ubora na uwezo wa timu ndio kila kitu. Nusu fainal timu nne zote zilizomaliza nafas ya kwanza kwa kila kundi. UKIBISHA KUNYA BOGASoka haiko hivyo ndugu! Hapo hakuna timu dhaifu!
Mara ya mwisho MC Alger kufika quarterfinal ilikuwa 2011.Kama huna habari, huyo Mc Alger ana historia ya kuchukua ubingwa kabisa, ukiachana na kuingia robo fainali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutafuta wanaume kwa nguvuSawa dada mvaa vjora. Level yenu ni KMC
Kaizer Chiefs amepita kwa sababu walipokutana kule South walitoka 0:0 na walipoenda kule kwa horoya wakatoka sare ya 2:2 kwa maana hiyo anakuwa kama kapata goli la ugenini yaani ingekuwa mtoano ni kwamba horoya angetoka tuu kwa sababu karuhusu kufungwa nyumbani kwakeSijaelewa kwanini Kaizer Chiefs amekuwa nafasi ya Pili na Siyo Horoya mwenye Goal difference nzuri. Maana game zao zote walivyokutana wamesuluhu kama head to head ni sababu
Ww waache na maringo yao....Hakuna easy game hapo, tusijiamini kupitiliza.
Ninyi ni utopoloUmeona ehh mkuu, Simba jau sana hawa jamaa wakati mabingwa ni Sisi UTOPOLO
Nyie na Li timu lens la ki kike kike. Mara vjora mara madela aaah. Sasa MISARE km yoooteAcha kutafuta wanaume kwa nguvu
Inategemea amesema hivo katika muktadha upi, ila kwa case ya hapo, Anamaanisha matokeo ya team mbili zilipokutana, nyumbani na ugeniniHivi mtu akisema "Head to head" anamaanisha Nini?