Simba robo fainali CAF kukutana na CR Belouizdad, Kaizer Chiefs au MC Alger

Simba robo fainali CAF kukutana na CR Belouizdad, Kaizer Chiefs au MC Alger

Simba habari yake imeishia hapa labda wasubiri maajabu ya vipimo vya COVID 19 kwa wapinzani wao.......! Unaweza sikia wachezaji 11 wa kikosi cha kwanza wa timu pinzani wamekutwa na maambukizi! Wazee wa figisu hao!
Hizo kauli zenu za kindezi sio mara ya kwanza kuzitoa halafu wenzenu wanaendelea kusonga mbele
 
Kwa uchezaji wa Kaizer chiefs nisingependa tukutane nao kabisa, wings zao zinasumbua sana watatufanya tusishambulie kupitia pembeni.

Mc Algier tumeshacheza nae tukamfunga hadi huko huko kwao Algeria hivyo siyo threat sana kwetu na pamoja na uchezaji wao wanashambulia sana kupitia katikati hivyo kwetu itakuwa advantage kwa sababu tuna defensive midfield nzuri.

CR Belouzdad hawa threat pekee ni Mshambuliaji wao Gasmi nafikri, wanacheza taratibu sana na wanakabia juu sana hivyo kwetu itakuwa uchochoro kwa kina Luis Chama na wengineo.

Mc Algier na CR ndiyo mara yao ya kwanza kuingia quater final hivyo itakuwa vizuri kukutana na mgeni zaidi kuliko timu nyingine yoyote.
Kama huna habari, huyo Mc Alger ana historia ya kuchukua ubingwa kabisa, ukiachana na kuingia robo fainali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na yote hayo usishangae akabeba, nimewacheki wako fire. wana umoja, akili na nguvu. Kama ulicheki game yao na mamelody akamdundwa goli 2-0.
Ile game, huwezi kuitumia kipimo halisi cha nguvu ya kikosi cha Belouzdad. Mamelod kaingiza Asilimia kubwa ya kikosi B, na mpaka kuna mashabiki wake walikuwa wanaituhumu kuuza mechi.Kizeer chiefs pia, ile mechi yao ya nyumbani waliyoifunga Wydad, Wydad alikuwa kashafuzu na alichezesha vijana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wydad [emoji818]
Esperance [emoji818]
Al ahly[emoji818]
Belouzdad[emoji818]

Wasipochukua kati ya awa wa 4, nitakutag,,,,
Mkuu sasa ndio kubashiri gani huko, Yani utabirie timu 4 kushinda ubingwa unakoseaje sasa, Yani Kwa mfano useme eti asipochukua ubingwa Madrid,bayan,psg,man city unitag unaona ina make sense kweli? Sasa bingwa asipotoka Kati Yao atatoka wapi, we sema bingwa labda atakuwa Fulani mambo ya kujaza team 4 eti unabashiri ni ajabu
 
Mechi itakuwa heavy, simba bado tunatakiwa kujituma zaidi kama tunataka kufika fainali
 
Ni kanuni za mashindano ndivyo zilivyowekwa kabla ya michuano hii kuanza. Ni kwamba kanuni za mwaka huu za CAF CL zinasema timu itaangaliwa yenye points nyingi, zikilingana inaangaliwa Head To Head (H2H), kwamba mlipokutana nyie wawili mnaolingana, nani alimzidi mwenzake points, mkilingana inaangaliwa nani alimzidi mwenzake magoli, mkilingana inaangaliwa nani ana magoli mengi ugenini katika mechi zenu mlipokutana wawili tu, mkilingana ndio wanatoka nje ya H2H, wanaangalia goal difference ya ujumla ya mechi zenu kundi zima, na kadhalika.

Mechi ya kwanza ilipigwa South Africa, iliisha Kaizer Chiefs 0-0 Horoya. Mechi ya pili ilipigwa Guinea, iliisha Horoya 2-2 Kaizer Chiefs, kwa hiyo Kaizer Chiefs akawa juu ya msimamo wa ligi kwa kuwa ailpata sare ya mabao ugenini
Asante
 
Sijaelewa kwanini Kaizer Chiefs amekuwa nafasi ya Pili na Siyo Horoya mwenye Goal difference nzuri. Maana game zao zote walivyokutana wamesuluhu kama head to head ni sababu
Kaizer Chiefs amepita kwa sababu walipokutana kule South walitoka 0:0 na walipoenda kule kwa horoya wakatoka sare ya 2:2 kwa maana hiyo anakuwa kama kapata goli la ugenini yaani ingekuwa mtoano ni kwamba horoya angetoka tuu kwa sababu karuhusu kufungwa nyumbani kwake
 
Back
Top Bottom