Simba robo fainali CAF kukutana na CR Belouizdad, Kaizer Chiefs au MC Alger

Sijaelewa kwanini Kaizer Chiefs amekuwa nafasi ya Pili na Siyo Horoya mwenye Goal difference nzuri. Maana game zao zote walivyokutana wamesuluhu kama head to head ni sababu
Kaizer Chiefs ana magoli mengi ya away (2) vs Horoya
 
mwaka 2018 bingwa wa caf champions league ni Esperence, mwaka 2019 bingwa wa caf champions league ni esperence tena, mwaka 2020 bingwa wa caf champions league ni al ahly, mwaka 2021 ndio huu timu zipo hatua ya robo..

mamelodi ni mtoto mdogo sana kwa Esperence, kwanza mamelodi amewahi kutwaa ubingwa wa caf champions league mara 1 tu tangu klabu imeanzishwa, ambao ni mwaka 2016 tu ndio mamelodi alibeba kombe, sasa why udanganye ni bingwa wa mwaka juzi..

Mamelodi unaedanganya ni bingwa wa msimu uliopita, labda alitwaa ubingwa wa rede mtaani kwenu

Nimekuwekea list ya mabingwa wa kila mwaka uisome ujue nani muongo kati ya mimi na wewe

View attachment 1749067
Hiyo ya 2019 Wydad Casablanca walifanyiwa figisu hadi wakatoa timu uwanjani, hivyo Esperance akapata ushindi wa mezani, msimu huu Esperance timu yao haikuwa na matokeo mazuri kwenye viwanja vya ugenin tofauti na mismu miwili iliyopita.
 
Kama jinsi ambavyo huwezi kuilinganisha Yanga na Simba Sc kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app

At international level, Espérance has won a total of 13 titles, with 8 organized by Confederation of African Football, including four CAF Champions League titles, one CAF Cup title, one CAF Cup Winners' Cup title and one CAF Super Cup title.

Ni aibu kubwa kujilinganisha na Esperance iliyochukua makombe na makombe,,, Ili mjisifie angalau bac mfike hata nusu fainali

Ushindi/kutwaa
1 Wydad 95%
2 Esperance 90%
3 Al ahly 85%
4 Mamelody 80%
5 CR Belouizdad 80%
6 MC Alger 75%
7 Simba 40 %
8 Kaizer 30 %
 
mwaka 2018 bingwa wa caf champions league ni Esperence, mwaka 2019 bingwa wa caf champions league ni esperence tena, mwaka 2020 bingwa wa caf champions league ni al ahly, mwaka 2021 ndio huu timu zipo hatua ya robo..

mamelodi ni mtoto mdogo sana kwa Esperence, kwanza mamelodi amewahi kutwaa ubingwa wa caf champions league mara 1 tu tangu klabu imeanzishwa, ambao ni mwaka 2016 tu ndio mamelodi alibeba kombe, sasa why udanganye ni bingwa wa mwaka juzi..

Mamelodi unaedanganya ni bingwa wa msimu uliopita, labda alitwaa ubingwa wa rede mtaani kwenu

Nimekuwekea list ya mabingwa wa kila mwaka uisome ujue nani muongo kati ya mimi na wewe

View attachment 1749067
Mapovu mengi Sana shida nini,ok weka rekodi ya utopolo hapa miqka waliyoshiriki na walipoishia, kama hamtaki kukubari kuwa mnyama saizi yao ni klabu bingwa kalale tu
 
Mkuu samahani, ulichoandika sio sahihi kwavile hii haikuwa mtoano Bali ligi. Hebu tazama

Mkuu Horoya na Amakhosi wote walilingana points sasa ndo jamaa akauliza iweje Kaizer Chiefs wapite na sio Horoya wakati mechi zote mbili walizokutana walitoka draw? Jibu ni kwamba Chiefs ana faida ya away goals waliyopita juzi dhidi ya Horoya kama sheria za CAF zinavosema

20210411_135338.jpg
 
Belouzdad ambayo hata goal difference tu ina negative?

Timu ambayo Quarterfinal imeingia kwa mara ya kwanza ?

Pamoja na yote hayo usishangae akabeba, nimewacheki wako fire. wana umoja, akili na nguvu. Kama ulicheki game yao na mamelody akamdundwa goli 2-0.
 
Hii timu iliyopigwa 5 -1 hapa kwa mkapa? Kuwa seriously...bingwa hawezi kuwa na beki mbovu kama hiyo,kaizer chiefs nae kala 4 na WAC,mc Algier alipigwa 2-0 na zamalek kue kule Algeria...hapa watupe yoyote tunafuzu nusu final

Na mamelody kapigwa 2-0, tena kwao na huyu huyu unaemdharau
 
Pamoja na yote hayo usishangae akabeba, nimewacheki wako fire. wana umoja, akili na nguvu. Kama ulicheki game yao na mamelody akamdundwa goli 2-0.
Mamelod alikuwa ameshaqualify tayari hivyo haiwezi kuwa kipimo sahihi na Mamelod hawakuweka kikosi chao cha kwanza.

Ni kama Kama Kaizer chiefs alivyomfunga Wydad Casablanca ambaye alipeleka kikosi cha pili na headcoach hakuenda.
 
mwaka 2018 bingwa wa caf champions league ni Esperence, mwaka 2019 bingwa wa caf champions league ni esperence tena, mwaka 2020 bingwa wa caf champions league ni al ahly, mwaka 2021 ndio huu timu zipo hatua ya robo..

mamelodi ni mtoto mdogo sana kwa Esperence, kwanza mamelodi amewahi kutwaa ubingwa wa caf champions league mara 1 tu tangu klabu imeanzishwa, ambao ni mwaka 2016 tu ndio mamelodi alibeba kombe, sasa why udanganye ni bingwa wa mwaka juzi..

Mamelodi unaedanganya ni bingwa wa msimu uliopita, labda alitwaa ubingwa wa rede mtaani kwenu

Nimekuwekea list ya mabingwa wa kila mwaka uisome ujue nani muongo kati ya mimi na wewe

View attachment 1749067

Uko vizuri sana,,,
 
Mamelod alikuwa ameshaqualify tayari hivyo haiwezi kuwa kipimo sahihi na Mamelod hawakuweka kikosi chao cha kwanza.

Ni kama Kama Kaizer chiefs alivyomfunga Wydad Casablanca ambaye alipeleka kikosi cha pili na headcoach hakuenda.

Poa mkuu, muda utaongea 😀
 
Back
Top Bottom