mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Comment nyingi zinaonesha jinsi Tanzania ilivyo na wajinga wengi. Majibu yote ni ya kijingajinga tu. Pyramid walishawahi kuja kucheza na yanga Mwanza siku moja ya baada ya mechi wakapanda ndege wakasepa!
Nchi nyingi sana zilizoendelea zikishagundua nchi haieleweki, huwa wanaenda siku moja kabla ya mechi. Red Arrows walienda Angola tarehe 16 August wakacheza mechi tarehe 18.
Hizi mechi zinaenda kimkakati, sio kama hizo mechi zenu za bahasha!