Simba S.C. kwenda Angola siku moja kabla ya mechi ni takwa la kiufundi au bajeti imekata?

Comment nyingi zinaonesha jinsi Tanzania ilivyo na wajinga wengi. Majibu yote ni ya kijingajinga tu. Pyramid walishawahi kuja kucheza na yanga Mwanza siku moja ya baada ya mechi wakapanda ndege wakasepa!

Nchi nyingi sana zilizoendelea zikishagundua nchi haieleweki, huwa wanaenda siku moja kabla ya mechi. Red Arrows walienda Angola tarehe 16 August wakacheza mechi tarehe 18.

Hizi mechi zinaenda kimkakati, sio kama hizo mechi zenu za bahasha!
 
We jamaa Kama akili zako ndo unatumia kuandika hizi thiridi zako, basi wanao kutegemea wakae mkao wa riadha mapema.
 
Tanzania ina wapumbavu wengi wakiongozwa na mtoa mada.

Physiologically, mwili unapata madhara ukikaa zaidi ya masaa 72 sehemu mpya. In less than 24 hakuna shida kwa mwili. Na ni bora zaidi kuliko kukaa siku kadhaa na mwili kuanza kuwa na hali tofauti.

Vilevile shida ni maeneo hasa ya joto au milima ambako Oksijeni inapungua na kuleta hypoxia. Sasa Luanda joto lake kwa sasa ni 27°C wakati Dar ni 30°C vilevile Luanda ipo 6M ( Mita 6) above sea level wakati Dar ipo 55M above sea level maana yake hakuna athari katika kiwango cha Oksijeni wala joto. Laiti tungeenda kucheza katika Miji yenye nyanda za juu kama Iringa au Mbeya ambayo ipo zaidi ya Mita 1,500 above sea level hapo pangekuwa na madhara kifiziolojia.

Tusipende ku comment vitu tusivyovijua
 
Nadhan hili la ndege ya kukodi labda ndo chanzo, nadhan kukaa na ndege Kwa siku nying ni gharama kubwa ndio mana Simba wameona wakae CK chache
 
Ni wazi wewe shuleni ulienda kunywa uji wa UPE tu... hujang'amua kitu maana ulichoandika ni reflection ya ubongo wako
 
Binafsi naona kuna faida na hasara pia.
FAIDA
1.Kutokumbana na figisu Kwa siku nyingi.
2.Kupunguza gharama za ndege binafsi kusubiria Kwa siku nyingi.

HASARA
1.Wachezaji kutozoea mazingira na Hali ya hewa Kwa siku 1.
2.Kutopata Muda wa kutosha kutatua figisu mfano Vipimo vya Covid nk.
3.Kutopata Muda wa kuzoea uwanja wa Mechi na mazoezi.

YOTE KWA YOTE
Bado ni Uamzi mzuri kama mipango iko sawia.
 
Aliyekuleta duniani ndiyo anaongoza hasa kwa kuwa Mpumbavu zaidi yangu.
 
Ni wazi wewe shuleni ulienda kunywa uji wa UPE tu... hujang'amua kitu maana ulichoandika ni reflection ya ubongo wako

Ni wazi wewe shuleni ulienda kunywa uji wa UPE tu... hujang'amua kitu maana ulichoandika ni reflection ya ubongo wako
Rage alishamaliza kila kitu maana akili za mbumbumbu ni za kuvukia barabara tu
 
Hawana hela wangekodi ndege?
 
Waonekana unateseka sana
 
Ujue mwekezaji anamiliki 49% tu
Je hao wemgine wao hutoa nini?
 
Hilo jamaa huwa ni jinga
 
Kwanini misimu iliyopita walikuwa wanaenda kukaa zaidi ya siku tatu mfano msimu uliopita tuliona timu ina safari siku tano kabla ya mchezo. Ni kipi kilipelekea kufanya hivyo
Kwa kuwa walikuwa hawana hela za kukodi ndege yao binafsi. Msimu huu wanazo hela nyingi za M-Bet
 
Timu inakodi ndege Binafsi kwenda na Kurudi,
Yaani tunacheza Huku ndege inasubiri!

Unajua Bei Gani kukodi ndege wewe bwege?
Punguza upopoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…