Simba S.C. kwenda Angola siku moja kabla ya mechi ni takwa la kiufundi au bajeti imekata?

Nimemsikiliza rage leo baada ya mechi ya yanga nikamuelewa... yeye kama mzoefu kasema sehemu za africa ambazo kuna figisu nyingi nenda siku moja kabla ya mechi utakua umeshinda mambo mengi ya off field ambayo yangeweza watoa mchezoni... kawashauri yanga wasiwahi sana sudani, waende siku moja kabla ya mechibila watume watu wa awali mapema kuweka logostics sawa...
 
Hauwezi kukodi ndege ya kwenda na kurudi wakati unao ukata fikiri hili tu linakutosha.
 
We kiazi kweli, Sasa Kama kweli Mo kajitoa we sindio ulichokuwa unaombea au? Inabidi ufurahie Sasa maana ulisema anaitapeli Simba, halafu we utopolo habari za Simba hazikuhusu
 
Unaweza ukajiona unaujua sana mpira kumbe oya oya...
Uongozi haukukurupuka kupeleka wachezaji na ndege siku moja kabla ya mechi... nafikiri majibu umeyapata..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…