Simba sasa wanacheza mpira wa Ligi ya Uingereza

Aina ya wachezaji ambao kocha anawatumia hawana asili ya creativity
 
Shida tunathamini rangi kuliko maarifa
Mgunda a. K. a MAJINZI ni bora kuliko Robetihno A. K. A MIKANDA YA MABEGI
KIDOGO NJE YA MADA...... HAWA JAMAA WANATEGEMEANA SABABU MGUNDA JINZI KUBWA PLUS ROBETIHNO MIKANDA WA MABEGI KILA MMOJA ANAWEZA KUAZIMA KWA MWENZAKe JINZI au mkanda pia Wanafanana kimavazi unaweza kudhani ni walevi chapa chapa[emoji3][emoji3][emoji3]
Wana ni jokes tu
Ila Mgunda ni bora kuliko huyo mbrazil
Sio kila mchina a najua kung-fu
 
Kocha akieleweka na wachezaji vizuri tutashuhudia mazuri mengi sana hasa huko CHAMPIONS LEAGUE... Pia kocha wa fitness anatakiwa aongeze utimamu wa wachezaji ili waweze kumaintain kasi ya mchezo dakika zote uwanjani.
 
Acha walimu wafanye kazi zao hizo zingine unaleta ni porojo tu...
 
Mpira wa kasi mwenzetu umeuona wapi? Binafsi sijaona mpira wa kasi bali nimeona mpira roho juu.
Kwani wewe ukiangalia EPL roho huwa haiwi juu? Roho kuwa juu ni "excitement" kwa sababu ya kasi ya mchezo na kwenye kasi kuna kosakosa nyingi.
 
Labda wewe unaangalia mechi nyingine ila kwa mpira wa Leo hakuna cha kusifia.
Hizo changamoto za Simba zimesemwa sana huko nyuma na toka Roberto aje, zimeisha ghafla. Utasemaje hakuna cha kusifia?
 
Kwani wewe ukiangalia EPL roho huwa haiwi juu? Roho kuwa juu ni excitement kwa sababu ya kasi ya mchezo na kwenye kasi kuna kosakosa nyingi.
Roho juu kwa anayepelekewa moto kila mara, unaomba mpira uishe.
 
Hizo changamoto za Simba zimesemwa sana huko nyuma na toka Roberto aje, zimeisha ghafla. Utasemaje hakuna cha kusifia?
Kwa maoni yangu sijaona jipya sidhani kama unaweza nilazimisha niendane na mtazamo wako.
 
Kwa maoni yangu sijaona jipya sidhani kama unaweza nilazimisha niendane na mtazamo wako.
Upande wa pili tumewazoea hamjui kusifia kinachofanywa na wengine
 
Roho juu kwa anayepelekewa moto kila mara, unaomba mpira uishe.
Ndiyo "excitement" yenyewe hiyo na ndiyo raha ya mpira hiyo. Nguvu ya kila timu inabalance, siyo timu inajihakikishia kushinda mechi 10 mfululizo, excitement itatoka wapi?

Simba wakiweza kujenga stamina na fitness nzuri ya wachezaji na kuweza kupossess mpira, hii kasi itasumbua timu nyingi.
 
Ana mapungufu mengi sana hafanyi sub kwa wakati kuna muda sawadogo alinyoosha mikono juu atoke kocha hakujali bdae ilimbidi akae chini nikaona anaombwa n bocco aendelee lakini wapi
Sikuona ulazima wa kutolewa baleke nje wakati mbele alikuwa analazimisha mabeki kufanya makosa halafu anamuingiza kyombo huyu kocha sijui
 

Hapana msijenge stamina na fitness ili mbakie kwenye mpira wa excitement. Usiwe kigeu geu
 
robertinho hata me simuelewi mfumo wa 4-4-2 hautulipi. Wachezaj hakai na mpira hata dk 2 jamani ni kubutua tu kwenda mbele
 
robertinho hata me simuelewi mfumo wa 4-4-2 hautulipi. Wachezaj hakai na mpira hata dk 2 jamani ni kubutua tu kwenda mbele
Niambie timu duniani inayokaa na mpira kwa dakika 2. Hayo ni madhaifu ya wachezaji wengi wa kitanzania. Wakitaka kukaa na mpira wanacheza slow sana.

Soma uzi huu niliongelea kuhusu mifumo mbalimbali na kwa nini mfumo wa Uingereza haufai katika ligi yetu.

Tufumue mfumo wetu wa soka kwa kuingia mkataba na Ujerumani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…