Swali hilo anaulizwa mtu ambaye kachukua ubingwa mara 4, kaenda robo fainali club bingwa mara 2, na saizi yupo confideration huko africaIna kuuma wewe nini?
Rivers united walipokutia mkwaju nje ndani uliwahi kufanya utafiti kujua ipo nafasi ya ngapi?Timu ipo nafasi ya 10 huko na umetia full mkoko ila ngoma ngumu
Mi ni mshabiki wa simba damu lakini ukweli usemwe timu yetu imeshuka kiwango wachezaji wanarukaruka yaani tumecheza na timu ya 8 zanzibar kwa wala urojo lakini tumeshindwa kufunga goli hata la kuotea ukweli usemwe timu letu bovuKipimo cha fowadi butu ila beki yenye unafuu ndo leo.
Nikikumbuka river ilikuwa nafasi ya 11 iliwaondoa nyuma mwiko huwa natoa machozi.Timu ipo nafasi ya 10 huko na umetia full mkoko ila ngoma ngumu
Duh...Swali hilo anaulizwa mtu ambaye kachukua ubingwa mara 4, kaenda robo fainali club bingwa mara 2, na saizi yupo confideration huko africa
Sasa hayo yote sio tatizo, tatizo ni pale ambapo muulizaji hajawahi kuwa na record hiyo hapo tangu club yake iumbwe
Ulitaka wachezaji wetu wavunjwe miguu upate furaha. Watu wanaruka mguu was shingo kidevu refa anapeta tu.Mi ni mshabiki wa simba damu lakini ukweli usemwe timu yetu imeshuka kiwango wachezaji wanarukaruka yaani tumecheza na timu ya 8 zanzibar kwa wala urojo lakini tumeshindwa kufunga goli hata la kuotea ukweli usemwe timu letu bovu
mwamba anakula kitumbua huku anatetemaMayele ni mrembo tu wala hana madhara ulubwa wa mayele upo midomoni mwa wana uto
Hata azam ni bingwa wa kihistoria, wangeamua kuifanya hoja hiyo kuwa agenda ila walishajua hiyo ni kujipa matumaini ya kinafkiDuh...
Yeye si Na bingawa wa Kihistoria au sio.
Labda cha manara, si ulimuona leo?mwamba anakula kitumbua huku anatetema
Kuongoza mwanzoni mwa LIGI si kigezo cha team kuwa bora, ni kama vile wazee wa mwiko nyuma ambavyo kuwa wanaongoza ligi.Koloo mlandege anashika namba 8 wakati kmkm namba 1 anaongoza ligi
Japo mi ni simba lakini ukweli usemwe usajiri wetu haueleweki...kocha nae kama kichaa walisema wanatuletea chama kumbe ni shibubuUlitaka wachezaji wetu wavunjwe miguu upate furaha. Watu wanaruka mguu was shingo kidevu refa anapeta tu.
Mchezaji mmoja wa simba thamani yake ni zaidi ya ligi yote ya Zanzibar.
Wala urojo?Mi ni mshabiki wa simba damu lakini ukweli usemwe timu yetu imeshuka kiwango wachezaji wanarukaruka yaani tumecheza na timu ya 8 zanzibar kwa wala urojo lakini tumeshindwa kufunga goli hata la kuotea ukweli usemwe timu letu bovu
Mkuu wewe mpira ndio ujui kwa mfano wako ulioleta hapa unataka kulinganisha nafasi ya saba ya ligi Nigeria vs ligi ya Zanzibar. Nafasi inategemea na ubora wa ligi husika. Zanzibar ni ligi dhaifu hivyo kuna timu dhaifu lakini KMKM ndiye mwenye ahueni kuliko timu zinginezo zoteMpira umeanza kuujua juzi eh. Uto alitolewa na rivers iliyokuwa nafasi ya saba hukoo
Na nyinyi mmechukua nini mpaka sasa tofauti na mwiko mlionao miaka nenda rudi?Ni tofauti kwa Yanga, KMKM kachukua ubingwa wa ligi ya Zanzibar msimu uliopita na hata sasa kwenye msimamo ndiye anayeongoza katika msimamo wa ligi ya Zanzibar
Ni kipi kinachokufanya useme KMKM imeizidi Yanga kiuwezo?Kwasababu wamecheza na timu kubwa iliyowazidi uwezo ila bahati humuangukia yeyote
π€£π€£ Mwiko umeshindiliwa nyuma aka kwenye tigo.Kuongoza mwanzoni mwa LIGI si kigezo cha team kuwa bora, ni kama vile wazee wa mwiko nyuma ambavyo kuwa wanaongoza ligi.
Kaze kapewa fursa ya kusimama kama kocha mkuu akajisahau eti akawa anam lecture hadi refa, refa akamchapa kafi ya njanoJapo mi ni simba lakini ukweli usemwe usajiri wetu haueleweki...kocha nae kama kichaa walisema wanatuletea chama kumbe ni shibubu
Mpka sasa kumbe, ni makombe ya ligi kuu mara 27 vipi nyie mna mangapi?Na nyinyi mmechukua nini mpaka sasa tofauti na mwiko mlionao miaka nenda rudi?
Nani alisema anawaletea chama!? Wewe unajulikana ni mtoto wa mwiko nyuma usituchoshe wapenzi wa mpira. Mzee wa mwiko nyuma πππ€£π€£π π πJapo mi ni simba lakini ukweli usemwe usajiri wetu haueleweki...kocha nae kama kichaa walisema wanatuletea chama kumbe ni shibubu