Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Tukupe mwiko?Makolooo bado ni sifuri na timu inayoshika namba 8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukupe mwiko?Makolooo bado ni sifuri na timu inayoshika namba 8
Hawana advantage nayo isipokuwa wanataka tu sifa kuwa tumewakazia SimbaHawa madogo wana advantage na droo. Mbona wapo nyuma tu?
Labda sifa tu ya kutoa droo na team za kubwa, hakuna faida yoyote.Hawa madogo wana advantage na droo. Mbona wapo nyuma tu?
Ni utani tu wala usikasirike mkuuUtoto mwingi sana et?
Tukupe mwiko?Hii Simba,hii ,sijui itakuwaje...tutakapo kutana na Asec na BARKANE[emoji3166]
Kolo ooo pablo amepewa niniNjano ya kaze ni kihele hele chake mwenyewe, ila Pablo ana point.
Ndio mmepangwa nao mmetoa drooHawa madogo wangecheza na sisi wangetufunga bora venye tulipangwa na kmk
Yuko vizuri.Hata huyu Udoh bado sijaona shughuli anayofanya. Labda tuone mechi zijazo
Kama kawaida.kwa hiyo nusu fainali ni timu zote za Tanganyika?
KMKM moto wao mkubwa kuliko Mlandege, KMKM ndiye kinara wa ligi ya Zanzibar.Hawa madogo wangecheza na sisi wangetufunga bora venye tulipangwa na kmk
Koloo mlandege anashika namba 8 wakati kmkm namba 1 anaongoza ligiHawa madogo wangecheza na sisi wangetufunga bora venye tulipangwa na kmk