Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Naam mpira umekwisha, Simba 0 mlandege 0 .. advantage ikiwa kwa mnyama simba
 
Hii Simba,hii ,sijui itakuwaje...tutakapo kutana na Asec na BARKANE🧐
 
Hawa madogo wangecheza na sisi wangetufunga bora venye tulipangwa na kmk
 
Ngoja niondoke na Moja tu....Hassan Ramadhani Abdallah huyu Ni BEKI wa Mlandege...ndo 'Man Of The Match'....!
KAZUIA SANA...Apewe tu hiyo hela.
 
Back
Top Bottom