Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Na bado na mchezaji man of the match katoka mlandege 🤣😁😂
 
🔥💥*WACHEZAJI WA KIGENI WALOPATA SARE YA BILA HATA GOLI MOJA LA KUSHANGILIA DHIDI YA MLANDEGE YA 9 LIGI KUU ZANZIBAR
1.Pascal Wawa🇨🇮
2.Benard Morrison🇬🇭
3.Udoh 🇳🇬
4.Papa Sakho 🇸🇳
5.Mugalu🇨🇩
6.Mukoro🇨🇮
7.Kagere🇷🇼
8.Kanoute🇬🇳
9.Henock BAKA🇨🇩
Kumbuka YANGA iliweka makambo🇨🇩 na Moloko🇨🇩 tu wa kigeni kucheza dhidi ya bingwa na Vinara wa Zanzibar na tena huyo Moloko ameanzia kwenye benchi
 
Si mlisema tuje kuangalia pira Madrid alafu walikuwa full squad na Wamekodi hadi wachezaji ambao hawajasajiliwa lakini wapii.
 
🔥💥*WACHEZAJI WA KIGENI WALOPATA SARE YA BILA HATA GOLI MOJA LA KUSHANGILIA DHIDI YA MLANDEGE YA 9 LIGI KUU ZANZIBAR
1.Pascal Wawa🇨🇮
2.Benard Morrison🇬🇭
3.Udoh 🇳🇬
4.Papa Sakho 🇸🇳
5.Mugalu🇨🇩
6.Mukoro🇨🇮
7.Kagere🇷🇼
8.Kanoute🇬🇳
9.Henock BAKA🇨🇩
Kumbuka YANGA iliweka makambo🇨🇩 na Moloko🇨🇩 tu wa kigeni kucheza dhidi ya bingwa na Vinara wa Zanzibar na tena huyo Moloko ameanzia kwenye benchi
Una mengi ya kuiongelea simba

Please tell us more
 
Bakari mwamnyeto amehusika kwenye magoli 3 NBC.

Henoko inonga amepiga vichwa wachezaji wawili mpaka sasa mmoja zanzibar mmoja bara hatari sana beki ili
simba yetu moja
Mirinda nyeusi moja
 
Kumfukuza kambini duncan nyoni saa nane usiku sio vizuri sijapenda atapata wapi bodaboda jamani na mtu ni mgeni anaongea kinyaturu tu hajui kiswahili.! hadi leo nimeambiwa hajafika kwao
 
Moira ni mipango siyo kukurupuka tu na wachezaji wa kizanzibari ambao bei zao ni kama za kuku wakatuvunjia wachezaji wetu wenye thamani kubwa.

Nitajie mchezaji gani hapo Zanzibar Mwenye thamani kubwa!?
Hayo Ni majibu ya kushindwa " Sizitaki mbichi hizi" kumbe huna uwezo. Madogo wamekubana kila idara na ful Makolo wako including ur bill striker
 
Mwambie huyo kibogoyo. Jamaa ni bonge la ndezi. Simba ni timu ya wasomi. Yanga ni timu wachawi na akina Mzee mpili.
Kama kwenye wasomi na wewe humo Basi hii elimu yenu Ni aibu tupu. "jitafakari, jitathimini na chukua hatua mkuu" Usomi kipimo chake Ni pamoja na jinsi unavyojenga hoja, bro ur argument is like either a Baby class student or less
 
🔥💥*WACHEZAJI WA KIGENI WALOPATA SARE YA BILA HATA GOLI MOJA LA KUSHANGILIA DHIDI YA MLANDEGE YA 9 LIGI KUU ZANZIBAR
1.Pascal Wawa🇨🇮
2.Benard Morrison🇬🇭
3.Udoh 🇳🇬
4.Papa Sakho 🇸🇳
5.Mugalu🇨🇩
6.Mukoro🇨🇮
7.Kagere🇷🇼
8.Kanoute🇬🇳
9.Henock BAKA🇨🇩
Kumbuka YANGA iliweka makambo🇨🇩 na Moloko🇨🇩 tu wa kigeni kucheza dhidi ya bingwa na Vinara wa Zanzibar na tena huyo Moloko ameanzia kwenye benchi
Waambie Hawa waliosomea matusi.
 
Back
Top Bottom