Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una matatizoGoooal sakhooo assist nzuri kutoka kwa Gentamycin popoma jezi namba 0
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa utawaua makoloGoooal sakhooo assist nzuri kutoka kwa Gentamycin popoma jezi namba 0
Una mengi ya kuiongelea simba🔥💥*WACHEZAJI WA KIGENI WALOPATA SARE YA BILA HATA GOLI MOJA LA KUSHANGILIA DHIDI YA MLANDEGE YA 9 LIGI KUU ZANZIBAR
1.Pascal Wawa🇨🇮
2.Benard Morrison🇬🇭
3.Udoh 🇳🇬
4.Papa Sakho 🇸🇳
5.Mugalu🇨🇩
6.Mukoro🇨🇮
7.Kagere🇷🇼
8.Kanoute🇬🇳
9.Henock BAKA🇨🇩
Kumbuka YANGA iliweka makambo🇨🇩 na Moloko🇨🇩 tu wa kigeni kucheza dhidi ya bingwa na Vinara wa Zanzibar na tena huyo Moloko ameanzia kwenye benchi
Huo mualiko ulipewa na nani?Si mlisema tuje kuangalia pira Madrid alafu walikuwa full squad na Wamekodi hadi wachezaji ambao hawajasajiliwa lakini wapii.
Duncan the monster yuko wapi? au tulipigwaUna mengi ya kuiongelea simba
Please tell us more
Tuislila kakomaa Chama ana rudiUtoh yuko fit , ana stamina ,speed ,pass zinafika inavyotakiwa .
Moukoro atuache ,mambo ya Tuisila kukimbia na mpira na kuacha nyuma hatutaki
yuko na kabwili anamshugulikiaKumfukuza kambini duncan nyoni saa nane usiku sio vizuri sijapenda atapata wapi bodaboda jamani na mtu ni mgeni anaongea kinyaturu tu hajui kiswahili.! hadi leo nimeambiwa hajafika kwao
yuko na kabwili anamshugulikia
Hayo Ni majibu ya kushindwa " Sizitaki mbichi hizi" kumbe huna uwezo. Madogo wamekubana kila idara na ful Makolo wako including ur bill strikerMoira ni mipango siyo kukurupuka tu na wachezaji wa kizanzibari ambao bei zao ni kama za kuku wakatuvunjia wachezaji wetu wenye thamani kubwa.
Nitajie mchezaji gani hapo Zanzibar Mwenye thamani kubwa!?
Kama kwenye wasomi na wewe humo Basi hii elimu yenu Ni aibu tupu. "jitafakari, jitathimini na chukua hatua mkuu" Usomi kipimo chake Ni pamoja na jinsi unavyojenga hoja, bro ur argument is like either a Baby class student or lessMwambie huyo kibogoyo. Jamaa ni bonge la ndezi. Simba ni timu ya wasomi. Yanga ni timu wachawi na akina Mzee mpili.
Waambie Hawa waliosomea matusi.🔥💥*WACHEZAJI WA KIGENI WALOPATA SARE YA BILA HATA GOLI MOJA LA KUSHANGILIA DHIDI YA MLANDEGE YA 9 LIGI KUU ZANZIBAR
1.Pascal Wawa🇨🇮
2.Benard Morrison🇬🇭
3.Udoh 🇳🇬
4.Papa Sakho 🇸🇳
5.Mugalu🇨🇩
6.Mukoro🇨🇮
7.Kagere🇷🇼
8.Kanoute🇬🇳
9.Henock BAKA🇨🇩
Kumbuka YANGA iliweka makambo🇨🇩 na Moloko🇨🇩 tu wa kigeni kucheza dhidi ya bingwa na Vinara wa Zanzibar na tena huyo Moloko ameanzia kwenye benchi
Hizi tabia umezianza lini?Nimependa bukta zao zilivyo washepu huko nyuma [emoji23][emoji23]
Hamsa tumeimiss sana.Hii Simba,hii ,sijui itakuwaje...tutakapo kutana na Asec na BARKANE[emoji3166]