Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Hakuna kitu kama hicho, ebu sikiliza uchambuzi huo kama kuna hicho kitu unacho kisema

Kapombe alikua kwenye oerfect position ya kwenda na mpira ila refa tu kafanya huruma kuwabeba
Elewa ulicho ambiwa kabla mpira unafika lango la yanga faulo imetokea upande wa simba na refa kakausha simba analishambulia lango refa anapiga filimbi (ujinga mtupu )

Ntibazokiza anachezewa faulo inakaushwa upumbavu mtupu

Kifupi refa ana mahaba
 
Nyie sinndo mlikua mna hamu na derby, kila tukibishana oooh subiri tarehe 11 kuna mayele

Haya tarehe 11 ndio hii na mayele ndo yule uliyemuona pale, mipira inampita na mitege yake kama banio la ugali ana mbwera tu mamamake
[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom