Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Konde konde wamng'ang'anie wamemzaa? Hebu zaa na wewe toto kama lile uwazawadie Simba acheze maishaHii simba si tishio tena.Tena wasishangae wakifungwa leo.Kosa sn kuwauza Kondeboy na Chama
I see draw
GwanyokoMimi mpira sijui sana ila Simba kazidiwa mbinu First Half. Hatihati za kufungwa nyingi zilikuwa kwa Simba
Amuweke bwalya tu. Unyumbulifu uongezeke hapo mbele.Kibu atupishe second half nguvu nyingi akili kisoda.
Kitajulikana anayeoa leo ni naniHaiana shida jiandaeni kwenda na nyumbani na mimba ya mapacha.. maana the fire is soo heavy😅
Elewa ulicho ambiwa kabla mpira unafika lango la yanga faulo imetokea upande wa simba na refa kakausha simba analishambulia lango refa anapiga filimbi (ujinga mtupu )Hakuna kitu kama hicho, ebu sikiliza uchambuzi huo kama kuna hicho kitu unacho kisema
Kapombe alikua kwenye oerfect position ya kwenda na mpira ila refa tu kafanya huruma kuwabeba
HahahaPasi za aina gani?
Phillips au sundar?
Ndiyo Ukweli WenyeweOmbeni leo msare au mfunge, tukishinda kumamake hamtakaa hapa
kwA kipindi cha Kwanza n wazi tupu ngoja tuone kipindi cha 2Naona kama Msimbazi tumezidiwa vile au presha zangu?
[emoji1787][emoji1787]Nyie sinndo mlikua mna hamu na derby, kila tukibishana oooh subiri tarehe 11 kuna mayele
Haya tarehe 11 ndio hii na mayele ndo yule uliyemuona pale, mipira inampita na mitege yake kama banio la ugali ana mbwera tu mamamake
Taratibu Simba vs Yanga Ni Watani Lakini Siyo MatusiMpira ni amani. Una panick nini sasa mamamae? Kimalaya hata wewe unaweza kuwa. Amua tu
kama wangeondoka bure ingekuwa kosa pia?Hii simba si tishio tena.Tena wasishangae wakifungwa leo.Kosa sn kuwauza Kondeboy na Chama
[emoji1787][emoji1787] Mnanifurahisha leoKonde konde wamng'ang'anie wamemzaa? Hebu zaa na wewe toto kama lile uwazawadie Simba acheze maisha